USHAURI: Nimeamua niwe winga Karikoo

Kweli kabisa madalari wanaalibu biashara wapuuzi sana.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 

Mawinga ni kipengele sana

Yaani unakuta anataka a force biashara hajui wewe unavyoumia

Siku hizi nawaambia tu jumla kuanzia 3pcs maisha mengine yanaendelea.
 
Kariakoo haipo ivyo Brother biashara ya pale haifanyiki ki bishoo kwenye Facebook ni kumbana street unatoka jasho ujenge jina utengeneze network, pia uaminifu, nenda kakomae achana na Mambo ya chuo kwenye serious life
 
Umeongea kwa hasira sana mkuu. Ila hakuna namna ndo maisha menyewe.
Siku ukiamua kuingiza kwenye bidhaa za kilimo. Nunua mahindi uone sokono Kama utayauza. Yani madalali ndio wanapanga Bei na kuharib biashara na hawana kazi yeyote ile ni uharibifu. .

Kuna madalali wa aina hii Kila Kona. Hawana biashara yeyote ndio wanaoibia wateja kariakoo. Hata akikuuzia bidhaa huwezi irudisha dukani hawana duka. Huwa wanafirce wauze hawajali kabisa na mara nyingi biashara zao zinakuwa za mizozo. .

Nilishuhudia kibaa dalali analoga shamba hauzi yeyote isipokuwa yeye. Wakija watu wanaona shamba limejaa maji. Kuwa makini Sana na madalali waharibufu mno. .
 
Mawinga ni kipengele sana

Yaani unakuta anataka a force biashara hajui wewe unavyoumia

Siku hizi nawaambia tu jumla kuanzia 3pcs maisha mengine yanaendelea.
Jumla pieces 3 Ila number unachagua wewe. Hawezi kukupangia size anazotaka yeye labda size sio kubwa. Wengi wanataka size ndogo na Kati halafu nguo size kubwa umuuzie nani. Akipanga size hiyo ni rejareja. .
 
Jumla pieces 3 Ila number unachagua wewe. Hawezi kukupangia size anazotaka yeye labda size sio kubwa. Wengi wanataka size ndogo na Kati halafu nguo size kubwa umuuzie nani. Akipanga size hiyo ni rejareja. .
Kaka inaonekana ma winga wamekuumiza sana aisee maana ulivyoandika kwa Uchungu sana


Sawa biashara kumuondoa dalali ni ngumu ilikuwepo tangu enzi za biblia.

Turudi kwenye mada naomba unipe hinta za kuanzia mkuu
 
Pole sana mkuu
 
So mimi nisiongezeke niliyoomba ushauri.

Maisha si lazima yaendelee mkuu.
 
Angalia kipi unanipenda zaidi hapo mkuu, vyote hivyo ni pesa Na hakuna kitu cha kumzidi mwenzake hapo
 
Ukiwa winga ni rahisi sana kutoboa. Tafuta machimbo yako ya bidhaa zozote, fungua page facebook, insta au twitter then post bidhaa pamoja na bei plus delivery. Fanya sponsored ads kisha tengeneza reputation ya jina lako na utakuja kunishukuru baadae.
 
inategemea unapiga winga kwenye bidhaa gani, kwenye nguo lazima utoke jasho field. electronics online unafanya bila shida. changamoto mpk mteja wa mbali akuamini ni ishu mkuu, ukifanikiwa kupata mmoja huwa wanasambaziana habari...hivyo unapata dili za kuagizwa mzigo na watu wenye maduka ya electronics huko mikoani. Winga wa online siri kibwa ipo kwenye uaminifu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…