luchelele mzunguko
JF-Expert Member
- Feb 12, 2021
- 1,206
- 1,641
Kweli kabisa madalari wanaalibu biashara wapuuzi sana.Usije dukani kwangu kwa mazoea unachukua nguo moja unamuuzia mteja elfu 30, una force kulipia elfu 15 ya Bei ya jumla kwa nguo moja. Hakuna Bei ya jumla kwa nguo moja. .
Mteja akifikia elfu 20 huuzi kwa sababu kwako haina maslai Ila kwangu yapo na ndio Bei ya rejareja. Kwa kuwa nauza elfu 20 rejareja usilazimishe Kisa umekuja na mteja kafika Bei ya chini unataka kilipwa wakati kwa Bei ya elfu 20 ukitoa elfu mbili ya Kodi duka linaingiza elfu 3. Kwa faida ya elfu 3 ni ndogo Ila wewe unaona ni utajiri kwa sababu namiliki duka. .
Ukija na mteja dukani kwangu ukiuza nguo hata Kama elfu 50, ujue naweza kukupa elfu 25 nikakata elfu 25 yangu kwa sababu unajua nauza nguo elfu 20 Bei ya rejareja ukalazimisha nichukue elfu 20. Ukumbuke nguo ikiwa na shida mteja atarudi dukani kwangu kuibadilish na natoa risiti. .
Ila mawinga ni waaribu biashara Sana. Bei wanafanya kubwa Sana kiasi Cha kufukuza wateja. Mda mwingine huwa wanasubiri wateja nje ya duka lako, Kama wapiga debe. .
Serikali ya Tanzania natoa rai muwafinge madalali ndio waanaofanya uharibifu wa biashara. Unakuta mda mwingine wanafanya bidhaa zisinunuliwe kuanzia kilimo mpaka serikalini huko wanajofanya wanauza tenda Kama za baba yako. Fucky em. .
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app