Ushauri: Nimebaki na Tsh. 10,000/- tu baada ya kupokea mshahara, nifanyaje?

Hapo itakuwa safi ila nikisema nizimue ndiyo zitaniongezea mawazo maana akili itakuwa ikikumbuka tu kuwa mfukoni nina teni itanipa msongo. Walau ningebaki hata na fifte ingekiwa safi,ila teni aiseeeee duuh! Upo Mbeya maeneo gani mzee
Nipo Mbeya carnival hapa kaka , mwenyewe nilikuja toka mshahara ulipotoka nimebakiza kakibund kadhaa nataka uje tukamalizie ili mimi nirudi huko Umalila nikalitumikie taifa tena .

Mimi siwazi maana wanakijiji hawawezi kukubali kuona nalala njaa watanisaidia tu , mimi ni kipenzi chao sana .

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Tafuta alternative yake, mfano, ukisikia kiu tu, wewe anza kunywa maji kwa lazima, baada ya wiki moja tu, hamu yote ya kunywa itaondoka. Ukiacha ghafla bila mbadala, itakuwa shida. Cha msingi uwe na nia na see it through.
Nikifika hiyo hatua itakuwa safi sana,na kuacha ghafa huwa ni ngumu sijui kwa nini.
 
pole sana
 
Nimekupata vyema sana, ila hakuna anaependa hii hali ni basi tu sijui kwa nini inatokea..
Nikujiendekeza naongea kutoka kwenye
Nimekupata vyema sana, ila hakuna anaependa hii hali ni basi tu sijui kwa nini inatokea..
Nikujiendekeza naongea kutoka kwenye uzowefu na usipobadilika tu hii tabia utaendelea nayo utashindwa kuwa hata na familia, maana hiii ni tabiq ya kianafunzi anafunzi inanziaga shule unapewa ada unakula, kwa kuamini chakula kipo nyumbani, ukifika chuo boom likitoka unachezea kwa kujua pesa nikikosa taomba nyumbani, so ukianza na ajira unakuwa na tabiq hiyo hiyo ukipata pesa unachezea unasahau hayo ndio maisha yako unatakiwa utulize kichwa

Matokeo yake ndio haya so you have to change bro, bata zipo na unatakiwa ujue starehe siyi kulewa tu
 
Hahaha sasa tukukaa tena tutasababisha majanga zaidi
 
Hahaha sasa tukukaa carnival pale tena tutasababisha majanga zaidi. Hapo labda nasoma.
 
[emoji846][emoji846]

Hahaha sasa tukukaa tena tutasababisha majanga zaidi
Mimi ninachoamini ni kuwa good deals zote upangwa bar hivyo kama tuko serious na lengo la kuweza kujicontrol na mitungi lazima tukae Bar tuzungumze vizuri sana .

Rafiki yangu usiogope sisi sio wa kwanza na hatutakuwa wa mwisho

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Hiyo 10,000 ungeitumia ku subscribe tu ili uwe unatumiwa vituko na vichekesho.
Naanza kuukumbuka ule wimbo wa msondo ngoma, "Kuzaliwa mwanaume kila kitu kwako kitakuwa ni taabu tu!"
Uanaume siyo kuwa mlevi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…