Ushauri: Nimebaki na Tsh. 10,000/- tu baada ya kupokea mshahara, nifanyaje?

Njoo click point pub nzovwe nikushauri.

Pombe imeniharibia mengi sana. Yani ni utumwa kupitiliza, unaweza amka asub unaogopa hata kuikagua wallet iliojaa Jana yake , ukiwaza utakachokikuta.
Aisee ndiyo hivyo hivyo pombe ni mbaya mwanangu ila nitaiacha tu mdogo mdogo maana najua kuiacha gafla bin vuu itakuwa kazi ngumu sana....
 
Wasalaam ndugu zangu, aisee ama kweli pombe sio chai.

Juzi Ijumaa katika mazingira yetu ya kazi wakatuzingatia ile posho ambayo tunayoipataga kila ufikapo mwisho wa mwezi, sasa hizi posho zinazaombatana na weekend sio nzuri kabisa ndugu zangu.

Sasa si nikaenda kulewa! Nimeamka Jumaatatu leo asubuhi mfukoni nina 10,000/= tu na sina salio lingine zaidi ya hii teni! Naombeni ushauri wazee, nasavaivu vipi na hii teni mpaka tarehe za mwishoni mwa mwezi ujao? Maana nimewaza mpaka naanza kunyonyoka nywele na kuilaumu mitungi.

Pia ni kwa namna gani nitaacha mitungi. Hapo naombea gesi isiishe geto maana nilivyoamka asubuhi nikajaribu kutingisha mtungi wa gesi ni mwepesi balaa, ila bado haijaisha lakini itakata tu ndani ya wiki hii.

Naanza kuukumbuka ule wimbo wa msondo ngoma, "Kuzaliwa mwanaume kila kitu kwako kitakuwa ni taabu tu!"

Wazee nitafika Septemba tarehe kama hizi kwa balance ya 10,000/= mfukoni? Nikisema nitoe buku nikabeti mpira au tatu mzuka si ndio watapita nayo yote? Au niuze simu?

Mitungi sio, aliyegundua na kuitengeneza mitungi atakuwa hana akili fresh, maana inamaliza hela vibaya, akili inarudi wakati ushapukutika mifuko myeupe.

Pia na hizi kampani za hovyo hovyo za mitungi niachane nazo, maana naweza kufa kwa mawazo. Yaani mimi nabaki na teni wakati leo ndiyo kwanza tarehe 28 August? Sasa tarehe 28 September nitafika kweli? Naombeni ushauri niishi nayo vipi hiyo teni.

Maana wanasema ukikwama shirikisha na wengine, ila mitungi sio wazee.
Nenda kwenye kausha damu.
 
Imalizie ubakie zero ndio akili itakuja.

Mwisho nenda kajifanye afisa usalama unafuatilia mtandao wa wapiga Dili alisema Rais Mbeya,watakuhonga pesa fasta unapotea.
 
Wasalaam ndugu zangu, aisee ama kweli pombe sio chai.

Juzi Ijumaa katika mazingira yetu ya kazi wakatuzingatia ile posho ambayo tunayoipataga kila ufikapo mwisho wa mwezi, sasa hizi posho zinazaombatana na weekend sio nzuri kabisa ndugu zangu.

Sasa si nikaenda kulewa! Nimeamka Jumaatatu leo asubuhi mfukoni nina 10,000/= tu na sina salio lingine zaidi ya hii teni! Naombeni ushauri wazee, nasavaivu vipi na hii teni mpaka tarehe za mwishoni mwa mwezi ujao? Maana nimewaza mpaka naanza kunyonyoka nywele na kuilaumu mitungi.

Pia ni kwa namna gani nitaacha mitungi. Hapo naombea gesi isiishe geto maana nilivyoamka asubuhi nikajaribu kutingisha mtungi wa gesi ni mwepesi balaa, ila bado haijaisha lakini itakata tu ndani ya wiki hii.

Naanza kuukumbuka ule wimbo wa msondo ngoma, "Kuzaliwa mwanaume kila kitu kwako kitakuwa ni taabu tu!"

Wazee nitafika Septemba tarehe kama hizi kwa balance ya 10,000/= mfukoni? Nikisema nitoe buku nikabeti mpira au tatu mzuka si ndio watapita nayo yote? Au niuze simu?

Mitungi sio, aliyegundua na kuitengeneza mitungi atakuwa hana akili fresh, maana inamaliza hela vibaya, akili inarudi wakati ushapukutika mifuko myeupe.

Pia na hizi kampani za hovyo hovyo za mitungi niachane nazo, maana naweza kufa kwa mawazo. Yaani mimi nabaki na teni wakati leo ndiyo kwanza tarehe 28 August? Sasa tarehe 28 September nitafika kweli? Naombeni ushauri niishi nayo vipi hiyo teni.

Maana wanasema ukikwama shirikisha na wengine, ila mitungi sio wazee.
Naona wewe pombe bado haijaisha kichwan Chief. La msingi na hiyo tena kapige k vant kabisa ili upate majibu ya jumla.
 
Hizi ni dalili za kuelekea kushikishwa ukuta. Sasa hiyo elfu 10 utaibudget vipi, labda kila siku uwe unatumia 300/=
Wasalaam ndugu zangu, aisee ama kweli pombe sio chai.

Juzi Ijumaa katika mazingira yetu ya kazi wakatuzingatia ile posho ambayo tunayoipataga kila ufikapo mwisho wa mwezi, sasa hizi posho zinazaombatana na weekend sio nzuri kabisa ndugu zangu.

Sasa si nikaenda kulewa! Nimeamka Jumaatatu leo asubuhi mfukoni nina 10,000/= tu na sina salio lingine zaidi ya hii teni! Naombeni ushauri wazee, nasavaivu vipi na hii teni mpaka tarehe za mwishoni mwa mwezi ujao? Maana nimewaza mpaka naanza kunyonyoka nywele na kuilaumu mitungi.

Pia ni kwa namna gani nitaacha mitungi. Hapo naombea gesi isiishe geto maana nilivyoamka asubuhi nikajaribu kutingisha mtungi wa gesi ni mwepesi balaa, ila bado haijaisha lakini itakata tu ndani ya wiki hii.

Naanza kuukumbuka ule wimbo wa msondo ngoma, "Kuzaliwa mwanaume kila kitu kwako kitakuwa ni taabu tu!"

Wazee nitafika Septemba tarehe kama hizi kwa balance ya 10,000/= mfukoni? Nikisema nitoe buku nikabeti mpira au tatu mzuka si ndio watapita nayo yote? Au niuze simu?

Mitungi sio, aliyegundua na kuitengeneza mitungi atakuwa hana akili fresh, maana inamaliza hela vibaya, akili inarudi wakati ushapukutika mifuko myeupe.

Pia na hizi kampani za hovyo hovyo za mitungi niachane nazo, maana naweza kufa kwa mawazo. Yaani mimi nabaki na teni wakati leo ndiyo kwanza tarehe 28 August? Sasa tarehe 28 September nitafika kweli? Naombeni ushauri niishi nayo vipi hiyo teni.

Maana wanasema ukikwama shirikisha na wengine, ila mitungi sio wazee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom