Ushauri: Nimebaki na Tsh. 10,000/- tu baada ya kupokea mshahara, nifanyaje?

Ushauri mzuri sana huu mpaka naona wivu kuwa laiti ningelikuwa mimi ndio nashauriwa!
 
Tukuyu pesa iishe?
😂😂Unafikiri saizi viwanja vya kumalizia hela Tukuyu hamna? Tena unapukutika dakika kumi nyingi (Kwa mwanaume lakini, nyie si mnapewa tu!). Sasa njoo nikupeleke ila nikopeshe twente kwanza ukija ninavyokupigiaha ruti za viwanja vikali vya kumaliza hela nakurudishia. Ila nilikuwa kyela matema.
 
Walev tunakutana na changamoto nyng sana,mwenyew jana nimechoma 50 elfu nimeamka na buku 5 tu.yan nimeshinda geto tu hata kutoka sitaman.mitungi ya kingese sn
Yaani mitungi wakati unapiga ikikukolea inafurahisha sana ila baada ya hapo kesho yake inaumiza balaa mzee.....
 
Jitathimini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…