Kizumari Technologies
Senior Member
- Sep 22, 2026
- 101
- 258
Kiboko tafuta 24Pdf ni full freeHabari wakuu,
Mimi ni msomaji wa humu JF kwa muda mrefu, leo naomba ushauri na pia natoa msaada kwa wanaotafuta ajira.
Kama mlivyopitia, mimi ni fresh graduate wa UDSM. Wiki iliyopita dada yangu alitaka kutuma CV yake Ajira Portal. CV yake ilikuwa 3MB, system ya Ajira inataka 1MB.
Akaenda SmallPDF, akapakia CV yake. Baada ya hapo wakamwambia alipe $9 (kama TZS 45k). Yeye kama mwanafunzi alilipa tu kwa sababu hakuwa na namna. Hela yake ya chakula ikaenda hapo.
Mimi kama kijana wa IT nikajisikia vibaya. Nikaanza kutafuta jinsi ya kutengeneza kitu kama hicho lakini kiwe bure na file isitoke kwenye simu.
Baada ya wiki mbili za kucode usiku na mchana (na changamoto za umeme wa Dar), nimetengeneza kitu ninachokiita GridPDF - ni website yenye tools kama 28 za PDF.
Kitu cha tofauti ni:
1. File yako haipandi server yoyote. Inafanya kazi ndani ya browser yako tu. Hata ukizima data baada ya kufungua site, bado inafanya kazi. Hii ni muhimu kwa privacy - CV yako ina NIDA, namba ya simu, etc. Sio vizuri kupakia kwa server ya nje.
2. Ni bure 100%. Hakuna account, hakuna paywall. Nimeihost Cloudflare free tier.
3. Inafanya kazi vizuri kwenye simu za Tecno na Infinix. Sijatumia server ya gharama.
Majaribio yangu:
Nimejaribu kupunguza PDF ya 5MB hadi 800KB bila kupoteza quality. Nimejaribu kuchanganya PDF 4 za vyeti kuwa moja. Yote imefanya kazi.
Link: GridPDF - 28 Best Free PDF Tools Online (naomba mjaribu na mnipe feedback, kama kuna bug nitarekebisha)
Swali langu kwa wadau:
Je kuna kitu ninaweza kuongeza? Na je ni halali kui-host tool kama hii? Naomba mawazo ya wabongo wa IT humu.
Nimeweka hapa kwa sababu JF ndio mahali pa kwanza nilipojifunzia mambo ya tech kupitia uzi wa TeknoKona.
Asanteni sana. Kama nimekosea section, naomba kukosolewa.
---
Mkuu, ni ipi hapa..? Japo hiyo ya juu naona wamepakuwa watu wengi..Kiboko tafuta 24Pdf ni full free
Merge pdf,Split pdf,Compress,Convert nk
Hongera kwa bidii na uzalendo. Ongeza features za conversion to word or excellHabari wakuu,
Mimi ni msomaji wa humu JF kwa muda mrefu, leo naomba ushauri na pia natoa msaada kwa wanaotafuta ajira.
Kama mlivyopitia, mimi ni fresh graduate wa UDSM. Wiki iliyopita dada yangu alitaka kutuma CV yake Ajira Portal. CV yake ilikuwa 3MB, system ya Ajira inataka 1MB.
Akaenda SmallPDF, akapakia CV yake. Baada ya hapo wakamwambia alipe $9 (kama TZS 45k). Yeye kama mwanafunzi alilipa tu kwa sababu hakuwa na namna. Hela yake ya chakula ikaenda hapo.
Mimi kama kijana wa IT nikajisikia vibaya. Nikaanza kutafuta jinsi ya kutengeneza kitu kama hicho lakini kiwe bure na file isitoke kwenye simu.
Baada ya wiki mbili za kucode usiku na mchana (na changamoto za umeme wa Dar), nimetengeneza kitu ninachokiita GridPDF - ni website yenye tools kama 28 za PDF.
Kitu cha tofauti ni:
1. File yako haipandi server yoyote. Inafanya kazi ndani ya browser yako tu. Hata ukizima data baada ya kufungua site, bado inafanya kazi. Hii ni muhimu kwa privacy - CV yako ina NIDA, namba ya simu, etc. Sio vizuri kupakia kwa server ya nje.
2. Ni bure 100%. Hakuna account, hakuna paywall. Nimeihost Cloudflare free tier.
3. Inafanya kazi vizuri kwenye simu za Tecno na Infinix. Sijatumia server ya gharama.
Majaribio yangu:
Nimejaribu kupunguza PDF ya 5MB hadi 800KB bila kupoteza quality. Nimejaribu kuchanganya PDF 4 za vyeti kuwa moja. Yote imefanya kazi.
Link: GridPDF - 28 Best Free PDF Tools Online (naomba mjaribu na mnipe feedback, kama kuna bug nitarekebisha)
Swali langu kwa wadau:
Je kuna kitu ninaweza kuongeza? Na je ni halali kui-host tool kama hii? Naomba mawazo ya wabongo wa IT humu.
Nimeweka hapa kwa sababu JF ndio mahali pa kwanza nilipojifunzia mambo ya tech kupitia uzi wa TeknoKona.
Asanteni sana. Kama nimekosea section, naomba kukosolewa.
---
Nimewaangalia nao pia Wana limitations zao juu ya hizo free services wanazoweza kuzitoaKiboko tafuta 24Pdf ni full free
Merge pdf,Split pdf,Compress,Convert nk
Nimeona pia Kuna vitu wao pia wameweka limitations ambazo sometimes mtu anazihitaji na hawezi kulipaSolutions for all PDF problems - 100% free - PDF24
Free solutions for all PDF problems. Online and offline. Merge PDF, Compress PDF, Edit PDF, Convert PDF, ...www.pdf24.org
Asante sana kaka kwa motisha yako lakini nadhani nimeziweka labda umepita chap Chap hivi ndo maana hukuziona ila zipo so ukipata muda pitia vizuri kabisa then njoo hapa kwa ajili ya ushauri na kunikosoa pale nilipo puyangaHongera kwa bidii na uzalendo. Ongeza features za conversion to word or excell
Mh hao ndo wezi kabisaaa hao em jaribu na hiyo ya kwetu then njoo hapa tujadili pamoja kaka πͺAnything unachokitaka kuhusu pdf, tumia ilovepdf. Kila kitu utakimaliza hapo
Sawa kaka tumeuchukua huu ushauri na tutaufanyia kazi lakini mwanzo lengo letu ni kuwasaidia watu kutokana na hizi gharama kubwa ambapo wengi wetu zinatushindaKumbe n ya kibongo IPO good,ila usiweke free Kila features toza hata 100
Hahaha π kaka umepotea kabisa hukoo umeenda play store rudi kwenye post yetu hapo then katikati ya post utaona neno link then mbele yake Kuna maandishi ya blue π΅ yameanza na neno GridPDF then yabonyeze Kisha yatakupeleka moja kwa moja mpka kwenye tool yetu then katumie Kisha njoo na majibu hapa ili tujue nn turekebishe nn tuongeze na nn tupunguzeMkuu, ni ipi hapa..? Japo hiyo ya juu naona wamepakuwa watu wengi..
We unatumia ipi na ni nzuri zaidi..?View attachment 3678294
Yeah lakini katika kiasi Cha kuweza kuhudumia gharama za uendeshaji na Wala si kiwango Cha kumkandamiza mtumiaji wa kawaida au wa mara moja wa mazingira ya Africa na tanzania kwa ujumla πuna mpango wowote wa ku-monetise baadae?
Ok kaka kama Kuna changamoto au Cha kurekebissha tuambizane ukweli hapa ili tupate kilicho bora kwa ajili yetu na kwa mahitaji yetu ya msingi πKumbe n ya kibongo IPO good,ila usiweke free Kila features toza hata 100
Twende taratibu. Ilovepdf wezi wao ni upi?Mh hao ndo wezi kabisaaa hao em jaribu na hiyo ya kwetu then njoo hapa tujadili pamoja kaka πͺ
naam ikifika hiyo stage inabidi ujitahidi kubalance jambo hiloYeah lakini katika kiasi Cha kuweza kuhudumia gharama za uendeshaji na Wala si kiwango Cha kumkandamiza mtumiaji wa kawaida au wa mara moja wa mazingira ya Africa na tanzania kwa ujumla π
Received and appreciated bro πππͺnaam ikifika hiyo stage inabidi ujitahidi kubalance jambo hilo