Kizumari Technologies
Senior Member
- Sep 22, 2026
- 101
- 258
- Thread starter
-
- #21
Kwanza wanauza data za watu without permission pili wanapokea files za watu kwenye server jambo ambalo ni hatari na kina hatarisha faragha ya mtumiaji na tatu ukiwa na serious bog tax hawakwambii at the beginning kama tutakutoza badala yake wanakupeleka maji marefu kufikia pahala wakikwambia ulipe basi kinyonge sana tunalazimika kuwalipa wakati wangekwambia at the beginning ungefanya maamuzi sahihi mapema bila ya kupoteza nguvu na muda wako thanks for reading πTwende taratibu. Ilovepdf wezi wao ni upi?
Sorry, kuna namba ambayo File sharing inaweza fanyika bila kupitia kwenye server katika hizi online services?Kwanza wanauza data za watu without permission pili wanapokea files za watu kwenye server jambo ambalo ni hatari na kina hatarisha faragha ya mtumiaji na tatu ukiwa na serious bog tax hawakwambii at the beginning kama tutakutoza badala yake wanakupeleka maji marefu kufikia pahala wakikwambia ulipe basi kinyonge sana tunalazimika kuwalipa wakati wangekwambia at the beginning ungefanya maamuzi sahihi mapema bila ya kupoteza nguvu na muda wako thanks for reading π
$9 ni TZS 45000 duhHabari wakuu,
Mimi ni msomaji wa humu JF kwa muda mrefu, leo naomba ushauri na pia natoa msaada kwa wanaotafuta ajira.
Kama mlivyopitia, mimi ni fresh graduate wa UDSM. Wiki iliyopita dada yangu alitaka kutuma CV yake Ajira Portal. CV yake ilikuwa 3MB, system ya Ajira inataka 1MB.
Akaenda SmallPDF, akapakia CV yake. Baada ya hapo wakamwambia alipe $9 (kama TZS 45k). Yeye kama mwanafunzi alilipa tu kwa sababu hakuwa na namna. Hela yake ya chakula ikaenda hapo.
Mimi kama kijana wa IT nikajisikia vibaya. Nikaanza kutafuta jinsi ya kutengeneza kitu kama hicho lakini kiwe bure na file isitoke kwenye simu.
Baada ya wiki mbili za kucode usiku na mchana (na changamoto za umeme wa Dar), nimetengeneza kitu ninachokiita GridPDF - ni website yenye tools kama 28 za PDF.
Kitu cha tofauti ni:
1. File yako haipandi server yoyote. Inafanya kazi ndani ya browser yako tu. Hata ukizima data baada ya kufungua site, bado inafanya kazi. Hii ni muhimu kwa privacy - CV yako ina NIDA, namba ya simu, etc. Sio vizuri kupakia kwa server ya nje.
2. Ni bure 100%. Hakuna account, hakuna paywall. Nimeihost Cloudflare free tier.
3. Inafanya kazi vizuri kwenye simu za Tecno na Infinix. Sijatumia server ya gharama.
Majaribio yangu:
Nimejaribu kupunguza PDF ya 5MB hadi 800KB bila kupoteza quality. Nimejaribu kuchanganya PDF 4 za vyeti kuwa moja. Yote imefanya kazi.
Link: GridPDF - 28 Best Free PDF Tools Online (naomba mjaribu na mnipe feedback, kama kuna bug nitarekebisha)
Swali langu kwa wadau:
Je kuna kitu ninaweza kuongeza? Na je ni halali kui-host tool kama hii? Naomba mawazo ya wabongo wa IT humu.
Nimeweka hapa kwa sababu JF ndio mahali pa kwanza nilipojifunzia mambo ya tech kupitia uzi wa TeknoKona.
Asanteni sana. Kama nimekosea section, naomba kukosolewa.
---
Huruma sio maleziSawa kaka tumeuchukua huu ushauri na tutaufanyia kazi lakini mwanzo lengo letu ni kuwasaidia watu kutokana na hizi gharama kubwa ambapo wengi wetu zinatushinda
Mkuu, hayo mambo ya kuuza data, kupokea files ukitaka kuyaepuka tengeneza apps zako mwenyewe. Ni sawa kuandikia chaki halafu hutaki vumbi.Kwanza wanauza data za watu without permission pili wanapokea files za watu kwenye server jambo ambalo ni hatari na kina hatarisha faragha ya mtumiaji na tatu ukiwa na serious bog tax hawakwambii at the beginning kama tutakutoza badala yake wanakupeleka maji marefu kufikia pahala wakikwambia ulipe basi kinyonge sana tunalazimika kuwalipa wakati wangekwambia at the beginning ungefanya maamuzi sahihi mapema bila ya kupoteza nguvu na muda wako thanks for reading π
Kwanza wanauza data za watu without permission pili wanapokea files za watu kwenye server jambo ambalo ni hatari na kina hatarisha faragha ya mtumiaji na tatu ukiwa na serious bog tax hawakwambii at the beginning kama tutakutoza badala yake wanakupeleka maji marefu kufikia pahala wakikwambia ulipe basi kinyonge sana tunalazimika kuwalipa wakati wangekwambia at the beginning ungefanya maamuzi sahihi mapema bila ya kupoteza nguvu na muda wako thanks for reading πTwende taratibu. Ilovepdf wezi wao ni upi?
Sorry, kuna namba ambayo File sharing inaweza fanyika bila kupitia kwenye server katika hizi online services
Hahaha π lakini mcheza kwao hutunzwa kakaHuruma sio malezi
Hahaha π na ndo maana tumeleta iliyo bora na salama zaidi kwa ajili yetu kaka sasa hapo kilicho bakia ni wewe tu kuchagua unasuka au unanyoa ππ #jokesMkuu, hayo mambo ya kuuza data, kupokea files ukitaka kuyaepuka tengeneza apps zako mwenyewe. Ni sawa kuandikia chaki halafu hutaki vumbi.
Sorry, kuna namba ambayo File sharing inaweza fanyika bila kupitia kwenye server katika hizi online services?
Swali zuri sana mkuu @[Bigmaan].
Ndio, inawezekana. Teknolojia inaitwa Client-Side Processing.
Tofauti na ilovepdf/smallpdf ambao file yako inapanda mpaka server yao Ujerumani, GridPDF inafanya kazi tofauti:
1. Unapofungua GridPDF - 28 Best Free PDF Tools Online, browser yako (Chrome) inapakuwa code ya JavaScript
2. Ukichagua PDF yako, hiyo PDF haiondoki kwenye simu yako. Code inaisoma hapo hapo ndani ya simu yako
3. Inaipunguza na kukupa download. Hakuna kitu kinachotoka nje.
Unaweza kujaribu mwenyewe: Washa Flight Mode baada ya kufungua site, halafu jaribu kupunguza PDF - itafanya kazi tu. Kama file ingekuwa inaenda server, flight mode ingeizuia.
Hii ndio maana hata CV yenye namba ya NIDA na cheti vyote ni salama, hakuna mtu anayeiona.
Ndio maana niliisema ni bure na offline.
π₯΄Kiboko tafuta 24Pdf ni full free
Merge pdf,Split pdf,Compress,Convert nk
Kuna free service za website nyingi sana tena salama kwa hiyo shughuli na nyingine. Mimi nimekuwepo kwenye kwenye haya mambo muda mrefu tu na nimezitumia kwa shughuli zangu nyingi, sensitive data kama kuomba viza, tax returns, passport etc. Labda uwe mwanafunzi kwenye mitandao ndiyo unaweza ku-upload sehemu za matapeli na hii ni kama mtu asiyejua anavyoweza kuweka sensitive data zake kwenye sites za scammers. BTW kuweza kufanya kazi offline haimaanishi data ziko safe.... naona wewe bado ni mwanafunzi.Hahaha π na ndo maana tumeleta iliyo bora na salama zaidi kwa ajili yetu kaka sasa hapo kilicho bakia ni wewe tu kuchagua unasuka au unanyoa ππ #jokes
Reddit bro!! Karibu na hukuNasoma comments kuhusiana na marekebisho na nimeruhusu kukosolewa kwa heshima katika nyanja zote π
Nimekaribia boss mnipokee sasa na msinichokeeeReddit bro!! Karibu na huku
Kuna free service za website nyingi sana tena salama kwa hiyo shughuli na nyingine. Mimi nimekuwepo kwenye kwenye haya mambo muda mrefu tu na nimezitumia kwa shughuli zangu nyingi, sensitive data kama kuomba viza, tax returns, passport etc. Labda uwe mwanafunzi kwenye mitandao ndiyo unaweza ku-upload sehemu za matapeli na hii ni kama mtu asiyejua anavyoweza kuweka sensitive data zake kwenye sites za scammers. BTW kuweza kufanya kazi offline haimaanishi data ziko safe.... naona wewe bado ni mwanafunzi.
Heshima mkuu macho_mdiliko, umenena vyema na nakuheshimu kwa uzoefu wako.
Uko sahihi, kuna free services nyingi na mimi mwenyewe nimezitumia. Tatizo langu lilikuwa moja tu: nikifungua DevTools kwenye nyingi kati yao naangalia Network tab, file inapanda kwenda server yao kwanza (upload). Kwa data kama NIDA / Passport / cheti cha kuzaliwa, hiyo ndio iliyonipa wasiwasi.
Kwa GridPDF nimeitengeneza tofauti kidogo: hakunafetch()/axios.post()yoyote inayopeleka file. Code yote nipdf-lib+canvasinayo-run ndani ya browser. Ukizima WiFi baada ya ku-load page, bado una-compress - hiyo ndio proof rahisi mteja anaweza ku-test mwenyewe bila kuniami ni.
Kuhusu offline = safe, uko sahihi 100% - offline pekee haina maana kama code inatuma data kimya kimya. Ndio maana nimeweka code Open Source kwenye GitHub na nimeweka hiyo button ya "Try with WiFi off" kama test ya haraka. Mtu yeyote anaweza ku-inspect.
Bado ni mwanafunzi kweli kwenye mambo mengi, najifunza. Kama unaona sehemu code yangu inavuja data naomba unioneshe hapa hapa nijirekebishe live. Niko tayari kujifunza.
Hahaha π umetuacha njia panda kaka
Kwa kweli, mimi kazi zangu hasa kubadilisha files, AI anamaliza. Na silipii.Habari wakuu,
Mimi ni msomaji wa humu JF kwa muda mrefu, leo naomba ushauri na pia natoa msaada kwa wanaotafuta ajira.
Kama mlivyopitia, mimi ni fresh graduate wa UDSM. Wiki iliyopita dada yangu alitaka kutuma CV yake Ajira Portal. CV yake ilikuwa 3MB, system ya Ajira inataka 1MB.
Akaenda SmallPDF, akapakia CV yake. Baada ya hapo wakamwambia alipe $9 (kama TZS 45k). Yeye kama mwanafunzi alilipa tu kwa sababu hakuwa na namna. Hela yake ya chakula ikaenda hapo.
Mimi kama kijana wa IT nikajisikia vibaya. Nikaanza kutafuta jinsi ya kutengeneza kitu kama hicho lakini kiwe bure na file isitoke kwenye simu.
Baada ya wiki mbili za kucode usiku na mchana (na changamoto za umeme wa Dar), nimetengeneza kitu ninachokiita GridPDF - ni website yenye tools kama 28 za PDF.
Kitu cha tofauti ni:
1. File yako haipandi server yoyote. Inafanya kazi ndani ya browser yako tu. Hata ukizima data baada ya kufungua site, bado inafanya kazi. Hii ni muhimu kwa privacy - CV yako ina NIDA, namba ya simu, etc. Sio vizuri kupakia kwa server ya nje.
2. Ni bure 100%. Hakuna account, hakuna paywall. Nimeihost Cloudflare free tier.
3. Inafanya kazi vizuri kwenye simu za Tecno na Infinix. Sijatumia server ya gharama.
Majaribio yangu:
Nimejaribu kupunguza PDF ya 5MB hadi 800KB bila kupoteza quality. Nimejaribu kuchanganya PDF 4 za vyeti kuwa moja. Yote imefanya kazi.
Link: GridPDF - 28 Best Free PDF Tools Online (naomba mjaribu na mnipe feedback, kama kuna bug nitarekebisha)
Swali langu kwa wadau:
Je kuna kitu ninaweza kuongeza? Na je ni halali kui-host tool kama hii? Naomba mawazo ya wabongo wa IT humu.
Nimeweka hapa kwa sababu JF ndio mahali pa kwanza nilipojifunzia mambo ya tech kupitia uzi wa TeknoKona.
Asanteni sana. Kama nimekosea section, naomba kukosolewa.
---
Hahaha π lakini ushafikiria kuhusiana na faragha yako au hujui ai anavyofanya kazi tukupe lecture kdg ππKwa kweli, mimi kazi zangu hasa kubadilisha files, AI anamaliza. Na silipii.
Naelewa sana boss. Nimehudhuria smina kuhusu cyber security na AI kibao ila sijaona dhambi kurahisisha kazi zangu kwa AIHahaha π lakini ushafikiria kuhusiana na faragha yako au hujui ai anavyofanya kazi tukupe lecture kdg ππ