Ushauri: Nimefall kwa house boy wangu

Muda mwingine sio kuumwa, wake kwa waume huwa na huruma sana tofauti na waume, me anakuwepo tu nikuzunguka tu kama pia hapo ndiyo huchosha zaidi na uvivu na kjishi kwa mazoea huyu ni mke wangu ataenda wapi!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo ukiwa na mke maana yake, kila siku akuone wewe ni mpya sio?Duu wanawake mtatuua haki ya Mungu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Andaa mazingira bora ili kitu yako immeze mwenzie kwa raha zenu. Nyama kwa nyama itapendeza.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…