Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,111
- 28,020
Amfukuze aende wapi mwenyewe kambelove [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amfukuze aende wapi mwenyewe kambelove [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Muda mwingine sio kuumwa, wake kwa waume huwa na huruma sana tofauti na waume, me anakuwepo tu nikuzunguka tu kama pia hapo ndiyo huchosha zaidi na uvivu na kjishi kwa mazoea huyu ni mke wangu ataenda wapi!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo ukiwa na mke maana yake, kila siku akuone wewe ni mpya sio?Duu wanawake mtatuua haki ya Mungu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Muda mwingine sio kuumwa, wake kwa waume huwa na huruma sana tofauti na waume, me anakuwepo tu nikuzunguka tu kama pia hapo ndiyo huchosha zaidi na uvivu na kjishi kwa mazoea huyu ni mke wangu ataenda wapi!
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu nishaona sana mme akiwa na afya anakuwa mwingi sana wa habari mpaka anamsahau mke, sasa naye siku ndiyo uwezo unapingua mke ndiyo ananza kulipiza visasi, ndoa hizi tabu tupu nikuchepuka kwa kwenda mbele
Haaaa haaaa kadri yeye anavyokupokea nawe mpokee sio dharau akiuliza kitu jibu hilo mpaka anatafuta maji yakunywa kulisindikizaKwa hiyo ukiwa na mke maana yake, kila siku akuone wewe ni mpya sio?Duu wanawake mtatuua haki ya Mungu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ni Mwanamke nimeolewa nina watoto wawili,ila kuna huyu house boy anaitatiza sana yaani ananivutia mnoo kwanzia body yake mimi hoi jamani namtamani kwelikweli kila nikimuona nalowa ila mume wangu ndo kikwazo ushauri tafadhali.
From a Friend.
Mapovu ruksa jameni
Sent using Jamii Forums mobile app
Oa tuu kiongozi.Hizi ni sehemu tuu ya changamoto za ndoa.Ngoja nione upepo wa kuoa umekaaje maana haya mambo hatari sana.
Nilikuwa na mpango 2019 nivute jiko ila sasa!!! Ngoja kwanza!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wala usihofu wewe tafuta tu na jiko wewe lisogeze tu ila usijisahau tu kama umeoa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndiyo maisha hayoNgoja nione upepo wa kuoa umekaaje maana haya mambo hatari sana.
Nilikuwa na mpango 2019 nivute jiko ila sasa!!! Ngoja kwanza!
Sent using Jamii Forums mobile app
Tafadhali.[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]Haaaa haaaa kadri yeye anavyokupokea nawe mpokee sio dharau akiuliza kitu jibu hilo mpaka anatafuta maji yakunywa kulisindikiza
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nioe kwa upepo huu kweli!!!Wala usihofu wewe tafuta tu na jiko wewe lisogeze tu ila usijisahau tu kama umeoa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndiyo maisha hayo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika.Japokuwa yahitaji moyo.[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]
Mkuu changamoto haziepukiki lakini sio hizi,
Hakika.Japokuwa yahitaji moyo.[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]
Sent using Jamii Forums mobile app