Ushauri: Nimefanyiwa sperm analysis ikagundulika siwezi kumpa m/mke ujauzito

Mkuu usisahau kutoa feedback ya leo kutoka kwa docta...hapo ndo ntajua kwa kuanzia kukupa ushauri...nshakuwa na tatizo kama lako but liliisha kabisa...
 
Weka mkazo kwenye dawa za hospitali ikishindikana jaribu traditional ways. Utapona tu. Ikishindikana adopt tu mtoto mungu atakubariki.
 
Mkuu usisahau kutoa feedback ya leo kutoka kwa docta...hapo ndo ntajua kwa kuanzia kukupa ushauri...nshakuwa na tatizo kama lako but liliisha kabisa...
Bro nashkuru sana kwa ushauri wako umenifariji sanaaa mungu akulipie uzidi kuwa faraja kwa wenye matatizo inshalah
 
sipati picha kabla hujagundulika una hilo tatizo! mungu huyu ! kasikilize ushauri wa madaktar walokupima
 
H
Mkuu usisahau kutoa feedback ya leo kutoka kwa docta...hapo ndo ntajua kwa kuanzia kukupa ushauri...nshakuwa na tatizo kama lako but liliisha kabisa...
nashkuru bro ntakuja na feedback usjali
 
Nashkuru bro
 
hsante ndug
 
Nashkuru mkwe
 
Mkuu usisahau kutoa feedback ya leo kutoka kwa docta...hapo ndo ntajua kwa kuanzia kukupa ushauri...nshakuwa na tatizo kama lako but liliisha kabisa...
Usjal mwana ntaileta feed back hapa
 
Hilo tatizo lako linaonekana lipo kilishe zaidi....maana inasemekana kuwa ubora wa mbegu za kiume unategemea kwa kiwango kikubwa na lishe....jaribu kuwaona wataalamu wa lishe nadhani wanaweza kukusaidia...
 
MUNGU NDIYE MUWEZA WA YOTE. YALIYOSHINDIKANA KWA WANADAMU, KWA MUNGU YANAWEZEKANA, ASEMA BWANA . MI NAKUSHAURI MSIKILIZE DAKTARI, LAKINI PIA WATAFUTE WATUMISHI WA MUNGU WAKUOMBEE NA WEWE UJIOMBEE, AMINI INAWEZEKENI.
 
Pole sana, unachopaswa kufanya ni kwenda nchi zinazofanya huduma ya kutunga mimba kwenye maabala, wewe na mkeo, wanaita in vitro fertilization, ambapo madaktari wataitafuta sperm Moja iliyonzima at least kwa kiwango cha cha juu kati ya hizo mbovu na kuipandikiza na yai (ovum) la mkeo kwenye maabara maalum. Bilashaka huduma hii ipo usa,uk, india sinauhakika. Hapo utapata watoto
 
Duh we nawe una roho mbaya,mwenzio yuko kwenye matatizo harafu unacomment kama vile umelazimishwa by the way kakuambia hawezi kumridhisha mpenziwe?ama tatizo ni mbegu?
Si ndo hpo watu wngne huwa wanajitoa ufaham kuliko wanyama... utadhan kalazimishwa kutoa ushaur vile..
 
Reactions: nao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…