Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bro nashkuru sana kwa ushauri wako umenifariji sanaaa mungu akulipie uzidi kuwa faraja kwa wenye matatizo inshalahMkuu usisahau kutoa feedback ya leo kutoka kwa docta...hapo ndo ntajua kwa kuanzia kukupa ushauri...nshakuwa na tatizo kama lako but liliisha kabisa...
Nashkuru broPole sana mkuu. Hii ni frustrating issue kwako. Kutokuwa na sperms zenye nguvu ya kuzalisha inasababishwa na mambo mengi kama magonjwa ya zinaa, ulevi, stress, lehemu nyingi mwilini, kutopumzika na mengineyo mengi ambayo bila shaka tabibu kakujuza.
Unaweza kuepuka tatizo hili kwa kuacha kunywa vinywaji vinavyoathiri male fertility kama Coca-Cola, Pepsi na vingine vya aina hiyo. Pia acha vyakula vyenye lehemu nyingi. Epuka machipsi nk. Kula vyakula vya nafaka visivyokobolewa, vyakula vya mizizi kama viazi, mihogo, karanga. Tumia virutubisho vya asili kama asali badala ya sukari. Kunywa maji ya kutosha. Fanya mazoezi mara kwa mara kuupa nguvu itakiwayo mzunguko wako wa damu. Lala muda wa kutosha angalau masaa saba hadi nane kwa siku. Punguza stress (najua haziepukiki). Furahia kufanya mapenzi. Epuka kuoga maji ya moto sana halafu kwa muda mrefu.
Nenda kacheki damu ama afya kwa ujumla ili kuona kama hali hiyo imechangiwa na magonjwa ya zinaa.
Tumia pia muda wako kujielimisha mtandaoni juu ya namna ya ku overcome male infertility.
Ninaamini utalishinda hilo tatizo na kumpiga mimba mwanamke.
Kabla sijasahau, mhimize pia mwenza wako apime UTI. Pia msisitize juu ya kuitunza afya ya kumani.
hsante ndugMkwe, usiogope na wala usitishwe na manenyo ya watu. Kwanza hakikisha unajitunza kiafya (I mean lishe bora), pili jiepushe na makandokando, na tatu, unahitaji subira kupitia maombi, Mungu atakusaidia. kuna watu kibao ambao walikuwa na tatizo kama lako lakini sasa ni akina baba nanihii na wamepata watoto tena hata bila dawa. Naimani ya kwamba wewe ni Muumini mzuri. Kazana na maombi ndugu. kwa leo ni hilo tu.
Nashkuru mkweMkwe, usiogope na wala usitishwe na manenyo ya watu. Kwanza hakikisha unajitunza kiafya (I mean lishe bora), pili jiepushe na makandokando, na tatu, unahitaji subira kupitia maombi, Mungu atakusaidia. kuna watu kibao ambao walikuwa na tatizo kama lako lakini sasa ni akina baba nanihii na wamepata watoto tena hata bila dawa. Naimani ya kwamba wewe ni Muumini mzuri. Kazana na maombi ndugu. kwa leo ni hilo tu.
Mleta mada akipona inabidi akupe mimba ili kukukta hicho kidomo domo....Subri kumegewa tu maana hakuna namna
Si ndo hpo watu wngne huwa wanajitoa ufaham kuliko wanyama... utadhan kalazimishwa kutoa ushaur vile..Duh we nawe una roho mbaya,mwenzio yuko kwenye matatizo harafu unacomment kama vile umelazimishwa by the way kakuambia hawezi kumridhisha mpenziwe?ama tatizo ni mbegu?
Kwa muda mrefu sana imekuwa ikinisumbua kuelewa hasa dhumuni la nchi hasa za kiafrika kudai uhuru wetu ikiwa matokeo ya uhuru huo umekuwa na matunda mabaya sana kwa raia wake kisiasa na kiuchumi.
Je, dhumuni hasa lilikuwa kumwondoa mtawala mlowezi na badala yake kumweka mzawa?
Je, ilikuwa mategemeo ya wengi kubadilisha mkono wa mtawala wa uchumi toka mlowezi na badala yake kushikwa na mzawa?
Je, uhuru ulitakiwa kwa sababu ya haki za kibinadamu baada ya matokeo mabaya ya vita kuu ya pili duniani?
Hadi leo ndugu zangu sifahamu kabisa maana ya UHURU ikiwa wananchi wengi wa nchi zilizotawaliwa wamekuwa na maisha mabaya zaidi chini ya utawala wa mzawa. Adui mkubwa wa maendeleo ya mwafrika imekuwa mwafrika mwenzake. Umaskini wa mwafrika unazidi kukua baada ya Uhuru huohuo kuzua matabaka baina yetu. Kuna hao wanaosema afadhali hata mkoloni kwani alitutawala na bado alihakikisha uchumi wetu upo jtk hali nzuri kuondokana na balaa la njaa. Kifupi tulitawaliwa lakini bado jukumu la kuhakikisha tunakula vizuri lilikuwa bado la mtawala! Mwananchi mwenye njaa ni sawa na gari lisilokuwa na mafuta... haliwezi kwenda popote!
Msinielewe vibaya kwamba napendekeza kutawaliwa zaidi ya kujitawala! lakini nachoshindwa kuelewa ni maana ya kujitawala -uhuru! ikiwa kiongozi mzawa mwenyewe hana tofauti kwa mabaya na huyo mtawala mlowezi.
Umaskini afrika ni maradhi ya kujitakia na yawezekana kabisa kuwa UHURU wetu umetafsirika vibaya hivyo kupoteza malengo yake. Haya maswala ya utandawazi yatawezekana tu pale tutakapo weza kutambua sisi tumetoka wapi na malengo yetu ni kwenda wapi.!.. Nje ya hapo Uhuru kwa mwafrika ni mabadiliko ya sura ya mtawala. Mateso na dhulma zipo palepale isipokuwa tu anayekunyonya ni chawa sio kunguni!
Kwa mtazamo wangu naomba sana mchango wenu wanabodi kwa upeo wenye matumaini... upeo ambao unatutakia mabadiliko ndani ya vyombo vyetu vya siasa na uchumi ili kuboresha maisha ya wananchi.
Haki na amani isimame kama ilivyokusudiwa tulipokuwa tukigombea uhuru wetu...
Haki na amani iwe juu yetu sote![/QU.......
Acha uchoyoMm ni Medical doctor ,
Kaka Janjab njoo PM nikusaidie
Asante
Kuna sehemu ya kuleta mzaha siyo masuala ya kiafya, hujafa hujaumbika.Subri kumegewa tu maana hakuna namna
Madam mbona umenena kwa hisia sanasipati picha kabla hujagundulika una hilo tatizo! mungu huyu ! kasikilize ushauri wa madaktar walokupima
Madam mbona umenena kwa hisia sana