Ushauri: Nimefanyiwa sperm analysis ikagundulika siwezi kumpa m/mke ujauzito

Unaweza fanya In Vitro fertilization, inachukuliwa Sperm moja yenye Quality anawekewa wife wako
 
Mbona alimwombea lowasa apate urais na akaangukia pua??
 
Mbona alimwombea lowasa apate urais na akaangukia pua??

Wewe uliwahi kumsikia wapi Lowassa akiwatangazia Watanzania kwamba Nabii Joshua amemtabilia kwamba atashinda kiti cha Urais?

Sisi watanzania tunapenda sana kutunga stori za Uongo na kweli, juzi juzi hapa watu walimzuria mama mwenye matatizo ya akili kwamba alikuwa amefungiwa ndani na tajiri mmoja huko Kimala akitumika kama msukule, kumbe habari zenyewe hazikuwa na ukweli wowote!!
 
Pole sana brother...
jitahidi kufanya mazoezi hasa jogging asubuhi,kunywa maji kwa wingi,matunda kama matikiti maji kwa sana hasa wakati ukiwa na njaa yatakusaidia..,ukipata maboga zile mbegu zake unachemsha /au unakaanga na kuzila huimarisha sana sperms.

kingine ukiweza tengeneza juice ya ukwaju uchanganye na kitunguu swaumu na uwe unakunywa kama dozi asubuhi na jioni angalau kwa wiki moja..mambo yakoyatakaa vizuri tu.
Mwisho kabisa baada ya kuzingatia sana lishe na mazoezi....kazana na maombi Mungu atakusaidia.
 
Th
Thanx sana
 
Jaribu kufanya vipimo hospitali tofauti kama 3 isijekuwa jamaa wanataka kutumia shida yako kutengeneza pesa kwa kukujaza hofu kwanza ndio wakwambie tatizo lako linatibika ila ni gharama kubwa.
 
Mimi pia yamenikuta ila nimeanza dozi.
 
janjab;pole sana ndugu,jaribu kwanza kipimo IVF,na hicho kipimo kinapatikana Nairobi tu,kwa hapa bongo sidhani kwa kweli,pale ndo unaweza kupata jibu is tatizo lako,
 
Doz hiyo ipoje mkuu? Precautions gani tunashauriwa kuchukua b4 tatizo halijafika?
 
wasiliana na washauri hawa wanavirutubisho vizuri vitakavyokusaidia kurudisha sperm count na umbo lake
0758768855

unaushahidi wowote juu ya matibabu yao .jee hao wana hospital au vip?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…