Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aah! Niliuliza swali kutokana na kutojua maana ya 'puchu' siku hizi misamiati imezidi sana. PUCHU ndio mdudu gani mkuu?
Mbona alimwombea lowasa apate urais na akaangukia pua??Mkuu, mimi nafikiri Daktari kwa uzoefu wake anaweza kujua ni kitu gani kinasababisha mophology ya sperms zako zionekane ndio sivyo, kwa nchi za wenzetu walioendelea wangeweza kuchagua sperms ambazo zinaonekana mophology zako ziko sahihi/balabala i.e zenye kichwa na mkia wakazi changanya na yai la mkeo kwenye test tube ili fertilization ifanyike kwenye test tube katika mazingira sahihi, wakisha hakikisha kwamba hilo limefanyika bila matatizo litakalo fuata ni kuhamishia kiumbe kwenye tumbo la uzazi la mkeo.
Usije ukadanganyika kwamba lishe ya aina fulani inaweza kurekebisha mambo, hilo mimi siamini - tatizo lipo kwenze korodani zako hazitengenezi vizuri sperms zako, labda unaweka laptop kwenye mapaja yako kwa muda mrefu (utani-lakini kuna kaukweli ndani yake).
Hilo likishindikana nenda Nigeria kamuone Nabii Joshua akuombee kwa Mungu, mimi ni mtu hasiye amani vitu kirahisi rahisi lakini jamaa huyu namkubali sana, ana wito husio wa kawaida, hata wanawake walio ondolewa fallopian tubes zao zote ana uwezo wa kuwaombea wakaweza kupata mimba tena! Ni ajabu na kweli.
Mbona alimwombea lowasa apate urais na akaangukia pua??
Pole sana brother...Wakubwa najua humu ndani wapo matabibu wanaweza kunisaidia leo nilifanyiwa sperm analysis nikapata majibu yafuatayo.
Sperm mophology imeonekana baadhi ya shahawa kwa kiwango kukubwa zimeonekana zina umbo ambalo si sahihi hazina mkia wala kichwa.
Spem viscocity haipo sawa hazivutiki, sperm color ni yellow dk kanambia kwa matokeo hayo ni ngumu kumpa mwanamke mimba .
Kanambia nirudu kesho ula kabla sijarudi.
Naomba JF doctor mniambie je, naweza kurudisha sperm quality yangu namimi nipate family au ndo siwezi tena.
Msaads tafaadhali.
Thanx sanaPole sana brother...
jitahidi kufanya mazoezi hasa jogging asubuhi,kunywa maji kwa wingi,matunda kama matikiti maji kwa sana hasa wakati ukiwa na njaa yatakusaidia..,ukipata maboga zile mbegu zake unachemsha /au unakaanga na kuzila huimarisha sana sperms.
kingine ukiweza tengeneza juice ya ukwaju uchanganye na kitunguu swaumu na uwe unakunywa kama dozi asubuhi na jioni angalau kwa wiki moja..mambo yakoyatakaa vizuri tu.
Mwisho kabisa baada ya kuzingatia sana lishe na mazoezi....kazana na maombi Mungu atakusaidia.
hao ni kina nani weny hizo dawawasiliana na washauri hawa wanavirutubisho vizuri vitakavyokusaidia kurudisha sperm count na umbo lake
0758768855
vip umepatatiba mbona kimnya
Mh!!!!Mimi pia yamenikuta ila nimeanza dozi, hata hivyo nina mtoto mmoja ambaye nilipata kabla ya kuoa
IVF ni kipimo ganijanjab;pole sana ndugu,jaribu kwanza kipimo IVF,na hicho kipimo kinapatikana Nairobi tu,kwa hapa bongo sidhani kwa kweli,pale ndo unaweza kupata jibu is tatizo lako,
wasiliana na washauri hawa wanavirutubisho vizuri vitakavyokusaidia kurudisha sperm count na umbo lake
0758768855