Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Ngoja waje wataalamu wa mchanganuo.natamani sana kutoka kimaisha .niliplan kufungua biashara yangu flani hivi hadi kodi ya nyumba nikalipia ila nikakwama ikabidi ile frem niiuze ili nisipoteze hela zote bure.
kuna biashara ingine nafuatilia nayo vikwazo vingi sifanikiwi.sina raha kabisa hallafu hakuna mtu wa kutoa msaada labda wa kukuomba tu.wenzangu mnafanyeje kufanikiwa .sipendi dhuluma au biashara haramu . najitahidi ila kila siku nipo pale pale. naombeni ushauri
Ni huyu huyu Miss Natafuta au copy?natamani sana kutoka kimaisha .niliplan kufungua biashara yangu flani hivi hadi kodi ya nyumba nikalipia ila nikakwama ikabidi ile frem niiuze ili nisipoteze hela zote bure.
kuna biashara ingine nafuatilia nayo vikwazo vingi sifanikiwi.sina raha kabisa hallafu hakuna mtu wa kutoa msaada labda wa kukuomba tu.wenzangu mnafanyeje kufanikiwa .sipendi dhuluma au biashara haramu . najitahidi ila kila siku nipo pale pale. naombeni ushauri
kwani nipoje mkuu!Ni huyu huyu Miss Natafuta au copy?
mama yeyo wewe umetokaje?Ngoja waje wataalamu wa mchanganuo.
am very spritual mkuu. Namuomba Mungu sanaUlimshirikisha MUNGU katika jitihada zako?
Katika ulimwengu wa roho kuna vitu ambavyo vinakufatilia kila ufanyacho ili viharibu,visipo chukuliwa hatua ya Maombi haviwezi kukuachia,so omba kabla hujaanza kufanya plani
Kuhusu business planning watakuja wengine kukushauri
Vizuri sana missam very spritual mkuu. Namuomba Mungu sana
ndio mkuuVizuri sana miss
Vipi unakaelimu kidogo kuhusu kuanza uwekezaji au biashara?
Pia natafuta shamba la kukodi Dar at least nianze kulima na kufuga kuku huku biashara ikisubiri.
Naombeni ushauri
wanaleta husda tena? kukodi sh ngapi heka mamy?Mashamba ya kukodi zaidi yanapatikana mkoa wa Pwani, Mkuranga huko Kimanzichana japo kuna wazee wasumbufu wanaendekeza mambo ya "utamaduni" wakiona unapata mafanikio basi wanajua kuyafanya yafifie
Biashara ni kuhusu aina ya bidhaa,soko linalosapoti kuuzika kwa hiyo bidhaa na usimamizi mzuri wa hiyo biashara yako.ndio mkuu
Ndio kuna vizee vichawi, vichawi vinakera sana, ila kwa wewe umejaa damu ya Yesu hakika hawakuwezi hata!wanaleta husda tena? kukodi sh ngapi heka mamy?
ndio mkuu shida ni kuset hiyo biasharaBiashara ni kuhusu aina ya bidhaa,soko linalosapoti kuuzika kwa hiyo bidhaa na usimamizi mzuri wa hiyo biashara yako.
Japo mwanzo mgumu
kukodi sh ngapi dear?Ndio kuna vizee vichawi, vichawi vinakera sana, ila kwa wewe umejaa damu ya Yesu hakika hawakuwezi hata!
inarange sh ngapi hivi?Ndio kuna vizee vichawi, vichawi vinakera sana, ila kwa wewe umejaa damu ya Yesu hakika hawakuwezi hata!
Bei ni negotiable
maelewano tukukodi sh ngapi dear?
ni maelewano hakuna bei fixedinarange sh ngapi hivi?
unaijua kampany yangu mkuuBadlisha kampani yako achana na mambo ya udaku..jaribu kukaa karibu na watu wenye muelkeo mzuri wa maisha,watakupa challenge nyingi..