Raimundo
JF-Expert Member
- May 23, 2009
- 13,416
- 12,618
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuu hilo lilikuwa wazo langu tu kwako maana kila mtu anaishi anavyo ona inafaa kuishi na mazingira ya naruhusu kuishi ila naomba sababu kwa nin huwezi kujaasante mkuu ila mbeya siji kabisa mkuu nisamehe bora niende somalia
ahahaaa acha tu mkuu we jua tu huko sijiSawa mkuu hilo lilikuwa wazo langu tu kwako maana kila mtu anaishi anavyo ona inafaa kuishi na mazingira ya naruhusu kuishi ila naomba sababu kwa nin huwezi kuja
Twende kibiti tukalime ufuta na mihogo huko mimi nimenunua shamba juzi wanauza 100,000 -150000 kwa heka.Natamani sana kutoka kimaisha, niliplan kufungua biashara yangu flani hivi hadi kodi ya nyumba nikalipia ila nikakwama ikabidi ile frem niiuze ili nisipoteze hela zote bure, kuna biashara ingine nafuatilia nayo vikwazo vingi sifanikiwi.
Sina raha kabisa halafu hakuna mtu wa kutoa msaada labda wa kukuomba tu. Wenzangu mnafanyeje kufanikiwa. Sipendi dhuluma au biashara haramu. Najitahidi ila kila siku nipo pale pale.
Pia natafuta shamba la kukodi Dar at least nianze kulima na kufuga kuku huku biashara ikisubiri.
Naombeni ushauri
Mkuu samahani naomba kujua japo kidogoahahaaa acha tu mkuu we jua tu huko siji
Owk,,,nmekuelewa,,,wazo lako limefanyiwa kazi na mbaya zaid na rafiki yako ambae ulimwamin akushauri labda na alikua na mtaji tayari,pole sana lakn mshukuru mungu maana amekufunulia tabia halis ya rafiki yakoahaaa ushauri wako una vichambo balaa anyway nashukuru yaani issue ipo hivi nilitaka kufungua biashara kuna mtu tulikutana tu kama rafiki kumbe amechukua wazo langu akaenda kufungua pale pale mimi nilikuwa namalizia kuset mtaji.so haiwezekaniki tena kufungua pale . hata ule mtaji nimeshakula tena hadi nianze tena kujipanga na hii biashara ingine natafuta eneo kodi ni kubwa pia kuseti mtaji ni mkubwa zaidi
sijaelewa mkuu
okay,,let me water it down like this-sijaelewa mkuu
Kuna mtu asiyeijuwa kampani yako wewe? Wewe si upo na kina Nifah,miss chaga,warumi na kilanja ni Hansemtanashati na wengineo nyote nawakutaga kwenye jukwaa lenu pendwa la cerebrities huko ni ubuyu tu unaliwaunaijua kampany yangu mkuu
asante mkuuKwa jinsi ulivyojieleza hujafungwa kiakili hata kidogo ila kuna kitu na ni ugonjwa unaitwa taking self short na excursis
hii ni wewe mwenyewe kujidharau na kujiona huwezi fanya kitu fulani na excursis ni ile hali ya kuahirisha mambo yako kwa kujenga sababu zisizo na msingi
CHA KUKUSHAURI kama una uwezo wa kuishika million moja kuna biashara hizi
ila kwa wazo lako la kilimo nakushauri kwa kimanzichana bora ununue ardhi mwenyewe kule heka moja wanauza laki nne lakini kama huna chanzo makini nakushauri ukodi shamba hasa maeneo yenye maji ulime mboga mboga kama bamia au hoho
n.k huko Ruvu heka moja ni 50,000
cha zaidi nakushauri ingia kwenye ulimwengu wa kusoma vitabu ukuze ubongo wako katika kufikiri anza na The magic of thinking big written by DAVID SCHWARTZ
Mambo ni magumu sasa hivi. Biashara zenye afadhali ni law firms, accountants na za chakula. Uwe mwangalifu unapoamua kuwekeza pesa zako kwa sasa hivi. Tafuta biashara yenye investment ndogo lakini ambayo itaanza kulipa ndani ya miezi 2 au 3.Natamani sana kutoka kimaisha, niliplan kufungua biashara yangu flani hivi hadi kodi ya nyumba nikalipia ila nikakwama ikabidi ile frem niiuze ili nisipoteze hela zote bure, kuna biashara ingine nafuatilia nayo vikwazo vingi sifanikiwi.
Sina raha kabisa halafu hakuna mtu wa kutoa msaada labda wa kukuomba tu. Wenzangu mnafanyeje kufanikiwa. Sipendi dhuluma au biashara haramu. Najitahidi ila kila siku nipo pale pale.
Pia natafuta shamba la kukodi Dar at least nianze kulima na kufuga kuku huku biashara ikisubiri.
Naombeni ushauri
mimi nauza vitenge java online na karibu kila siku nauza pea 5, au sita kila pea napata anzia 20000 alfu na kushuka haishuki 8000...Natamani sana kutoka kimaisha, niliplan kufungua biashara yangu flani hivi hadi kodi ya nyumba nikalipia ila nikakwama ikabidi ile frem niiuze ili nisipoteze hela zote bure, kuna biashara ingine nafuatilia nayo vikwazo vingi sifanikiwi.
Sina raha kabisa halafu hakuna mtu wa kutoa msaada labda wa kukuomba tu. Wenzangu mnafanyeje kufanikiwa. Sipendi dhuluma au biashara haramu. Najitahidi ila kila siku nipo pale pale.
Pia natafuta shamba la kukodi Dar at least nianze kulima na kufuga kuku huku biashara ikisubiri.
Naombeni ushauri