Inna
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 11,193
- 27,078
Una ushaur mzur ntakufuata privateUlimshirikisha MUNGU katika jitihada zako?
Katika ulimwengu wa roho kuna vitu ambavyo vinakufatilia kila ufanyacho ili viharibu,visipo chukuliwa hatua ya Maombi haviwezi kukuachia,so omba kabla hujaanza kufanya plani
Kuhusu business planning watakuja wengine kukushauri
Ila usishangae na mm nkikuuliza vitu sensitive maan umenzoea kwenye mmu tu