Ushauri: Nimefungwa akili, natamani kutoka kimaisha

Ushauri: Nimefungwa akili, natamani kutoka kimaisha

Ningekusaidia kupata mashamba Kilindi ukalima maharage maana mwezi huu wa 3 ndio mwezi wa kupanda hayo maharage na mwezi wa 6 mwishoni ni kuvuna, nimesikia mwaka huu hali ya mvua si mbaya huko inanyesha vzr, sisi (mimi na mume wangu) tulikua tunalima huko hekari 1 tulikua tunakodi kwa sh. 30,000 mpaka 40,000/= lakini Mwaka huu M/Mungu hajatujaalia kulima kutokana na ugonjwa wa mume wangu, jitahidi utafanikiwa mpenzi
Vipi lakini hali yake inaendeleaje?
 
Alhamdullialah anaendelea vyema, shukrani kwa kutujali
It's my prayer apone mkaendelee na kupiga kilimo na shughuli nyingine za kimaendeleo.Kuna siku nitakuuliza maswala ya kilimo coz nilishawahi kufanya kilimo cha tikiti hapo awali.

1 Wakorintho 10:13
Jaribu halikuwapata ninyi,isipokuwa lililo kawaida ya wanadamu,Ila MUNGU ni mwaminifu ambaye hatawaacha mjaribiwe kupita mwezavyo,lakini pamoja na hilo jaribu atafanya na mlango wa kutokea ili mweze kustahimili.
 
Mashamba ya kukodi zaidi yanapatikana mkoa wa Pwani, Mkuranga huko Kimanzichana japo kuna wazee wasumbufu wanaendekeza mambo ya "utamaduni" wakiona unapata mafanikio basi wanajua kuyafanya yafifie
Acha imani za hovyo!.
 
It's my prayer apone mkaendelee na kupiga kilimo na shughuli nyingine za kimaendeleo.Kuna siku nitakuuliza maswala ya kilimo coz nilishawahi kufanya kilimo cha tikiti hapo awali.

1 Wakorintho 10:13
Jaribu halikuwapata ninyi,isipokuwa lililo kawaida ya wanadamu,Ila MUNGU ni mwaminifu ambaye hatawaacha mjaribiwe kupita mwezavyo,lakini pamoja na hilo jaribu atafanya na mlango wa kutokea ili mweze kustahimili.
Karibu sana, nitakujibu kwa vile nilivyo na ufahamu navyo
 
Miss natafuta najua umeweka huu Uzi kwa faida ya tulio wengi japo kila mtu atafikiri anavyo fikiri

Kama unaweza kijipanga nakukaribisha mbeya kuna biashara nyingi hasa za kupeleka mikoa mingine kuna biashara ya mazao na ukipeleka kwa japo dar huku unakuja na biashara nyingine kama nguo za kike au za watoto
Nataka kuleta nguo za mtumba za kike..vp huko mbeya?
 
Natamani sana kutoka kimaisha, niliplan kufungua biashara yangu flani hivi hadi kodi ya nyumba nikalipia ila nikakwama ikabidi ile frem niiuze ili nisipoteze hela zote bure, kuna biashara ingine nafuatilia nayo vikwazo vingi sifanikiwi.

Sina raha kabisa halafu hakuna mtu wa kutoa msaada labda wa kukuomba tu. Wenzangu mnafanyeje kufanikiwa. Sipendi dhuluma au biashara haramu. Najitahidi ila kila siku nipo pale pale.

Pia natafuta shamba la kukodi Dar at least nianze kulima na kufuga kuku huku biashara ikisubiri.

Naombeni ushauri
Nahisi sio mzuri ka iyo avatar yako ndo mana.
 
ngoja jmosi nitazama huko asante sana kwa ushauri
Uwe makini, kuna matapeli pia. Wanakukodishia shamba ambalo hawamiliki , anakuzuga mnaandikishiana maandishi ya uongo halafu anaingia mitini. Siku ya siku mwenye shamba anatia tim, anakukuta uko bize na jembe lako unakomaa[emoji4] [emoji4] . Ni vizuri kuandikishiana kwa mjumbe ama serikali za mtaa( kiongozi anayetambulika awe shahidi kwenye zoezi la kuandikishiana)
 
Ukiomba ushauri kuwa muwazi.
Biashara yangu flani hivi...... kuna biashara nyingine nafatilia... Pengine ukitaja hizo biashara ni zipi utapata ushauri wa kina zaidi.
 
Back
Top Bottom