Natamani sana kutoka kimaisha, niliplan kufungua biashara yangu flani hivi hadi kodi ya nyumba nikalipia ila nikakwama ikabidi ile frem niiuze ili nisipoteze hela zote bure, kuna biashara ingine nafuatilia nayo vikwazo vingi sifanikiwi.
Sina raha kabisa halafu hakuna mtu wa kutoa msaada labda wa kukuomba tu. Wenzangu mnafanyeje kufanikiwa. Sipendi dhuluma au biashara haramu. Najitahidi ila kila siku nipo pale pale.
Pia natafuta shamba la kukodi Dar at least nianze kulima na kufuga kuku huku biashara ikisubiri.
Naombeni ushauri
FURSA NI HII DADA USILAZIE DAMU
Mwezi Huu Machi tarehe 25, Kampuni ya adscash ya HONG KONG itazinduliwa, watu wataanza kuwekeza. Adscash is the World’s first cryptocurrency exclusively For the Adworld. Ili kuijua zaidi kapuni hii nimweka YOU TUBE HAPA CHINI.
Kujiunga ni bure na Kwa wale watakaojiunga kabla ya tarehe ya uzinduzi watapata zawadi ya Coin 100 sawa na USD 2.5 (PRE LAUNCHING OFFER) na utaongezewa kwa kadri unavyopata wafuasi. Hela hii hii waweza kuibadili kuwa bitcoin au fedha yoyote ile mara tu baada ya uzinduzi yaani tarehe 25 Machi.
Joining link hii hapa:
http://ads.cash/prelaunch/1.html?id=huruma&link=1
....................................................................
Kwa wanataka kujua zaidi:
What exactly is Ads Cash Coin , how will
the prices increase , how it will be exchanged , what blockchain
it is being build on , its usage and so on and so forth...
Take 15 minutes out today to go through this presentation
and whitepaper so all your questions are fully answered
Ads Cash Power Point Presentation
Ads Cash Whitepaper - Version 1.0
............................................
Joining link hii hapa:
http://ads.cash/prelaunch/1.html?id=huruma&link=1