Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We uko nyuma,mwenzio yuko kituo kinachofuata na mpenzi wake, pole songa mbele.Tofauti alivyokuwa mwanzo na sasa kiukweli kuna dalili nimegundua mahaba na penzi nililokuwa nakipata toka kwa mpenzi wangu limeshakufa yaani kuna dalili zinaonesha hapa tiyali nimechokwa lile vibe la treatiwa kama mpenzi limeshakufa yamebaki tuu mazoea tuu.
Kuna time naamua kulianzisha lile vibe la kimahaba at least penzi lichangamke lakini dah mwenzangu anakuwa wa kawaida wala haoneshi zile hisia mpaka nafikiria jinsi gani.
Naweza kujinasua au hili jambo nitumie akili gani niweze kuvuka kipindi hiki maana huko mbeleni naona kuna bomu linakuja kulipuka
Acha nae huyo atakuletea mercyup zs kutosha baadae..piga chin.Tofauti alivyokuwa mwanzo na sasa kiukweli kuna dalili nimegundua mahaba na penzi nililokuwa nakipata toka kwa mpenzi wangu limeshakufa yaani kuna dalili zinaonesha hapa tiyali nimechokwa lile vibe la treatiwa kama mpenzi limeshakufa yamebaki tuu mazoea tuu.
Kuna time naamua kulianzisha lile vibe la kimahaba at least penzi lichangamke lakini dah mwenzangu anakuwa wa kawaida wala haoneshi zile hisia mpaka nafikiria jinsi gani.
Naweza kujinasua au hili jambo nitumie akili gani niweze kuvuka kipindi hiki maana huko mbeleni naona kuna bomu linakuja kulipuka
Popote ulipo mwamba nakusalimia sana ushauli wako nimeuelewa