projectmmanagertz
New Member
- Apr 6, 2019
- 4
- 1
Nakucheki inbox unisaidie namba yako mshua tuyajenge nahitaji kulima mahindi ila pakuanzia ndio shida.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii kwa wakazi wa songea tu au sehemu nyingine pia mnatoa huduma?Je unahitaji kulima mahindi na hauna muda wa kusimamia? Au unataka upate mavuno mengi zaidi? Njoo ofisini kwetu.
Ofisi ya YAD yenye wataalamu wabobezi wa kilimo sasa inakuletea mpango wa kusimamia shughuli zote za shambani. Mkulima utatukabidhi shughuli zako pale shambani kwako sisi tutafanya kila kitu kwa utaalamu zaidi na kukukabidhi mazao yako yakiwa yamekomaa. Gharama zetu ni nafuu sana na tunakuhakikishia kwa ekari moja kuvuna mahindi zaidi ya gunia 30. Usihangaike sasa, sisi tupo kwa ajili yako, Kwa Wale ambao hawana mashamba tutakuwezesha kupata mashamba ya kukodi kwa elfu 40 tu na mashamba ya kununua kwa elfu 60 tu hata ukihitaji ekari 100 za kununua utazipata kwa bei hiyo hiyo.
Kwa maelezo zaidi fika ofisini kwetu.
Jengo la NSSF SONGEA
Ghorofa ya 3 chumba no. 317
Simu. 0621133117
Nguvu kazi yetu na uwezo wetu kwa sasa ni sehemu ya kazi iwe ndani ya songea hivi mtu anaweza kutoka mkoa wowote ila awekeze shughuli zake SongeaHii kwa wakazi wa songea tu au sehemu nyingine pia mnatoa huduma?