Ushauri: Nimepata short wakati nauza vitambaa vya nguo

Ushauri: Nimepata short wakati nauza vitambaa vya nguo

akash1555

Member
Joined
Nov 19, 2016
Posts
87
Reaction score
26
Naombeni ushauri wenu,

Mimi mfanyakazi nauza vitambaa, leo nimetia short 12,000 yani sawa na kitambaa meta 1 ila boss kanimaind.

Nifanye nini ili ajirudu niweze kuendelea kama mwanzo?
 
Huja toa Maelezo ya kujitoshereza kwa vp imepata short hiyo.
 
The The first Sam to go to to g to of of there fire damp hoisting hosting
 
Wana jamii forum samahin nahitaji mtu mwenye uzoefu na biashara ya vitambaa vya nguo vinahitaji mtaji wa kiasi gani kuanza nao asanteni
 
Wana jamii forum samahin nahitaji mtu mwenye uzoefu na biashara ya vitambaa vya nguo vinahitaji mtaji wa kiasi gani kuanza nao asanteni
Vya suruali, gauni, mashati au vyote vyote?
 
Back
Top Bottom