emavalery
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 628
- 1,243
Hello JF Members,
Nimekuja kidogo na channgamoto ya kifamilia, ukweli napitia kipindi kigumu sana kifedha imeleta changamoto nyingi sana kwa upande wa maelewano na mzazi haswa mama..ikafikia anasema ni bora angetoa mimba yangu.
Nika very frustrated na kauli yake nikamjibu vibaya pia, ila kila mmoja bado anasema nimekosea..ningekaa kimya na nyuma ya yote naona anayekutamkia hayo ni kuwa hauna lolote na hata kuwa kwako hai hana amani na uhai wako.
Naambiwa ningevumilia, nisijibu sababu alibeba mimba miezi tisa, naombeni ushauri...ukiwa na hisia za kidini sawa na pia uwe na hisia za kidunia pia
Naombeni ushauri wakuu