IJIGHA NDIO HOME
JF-Expert Member
- Jul 13, 2019
- 760
- 823
Namimi niliwai kutamkiwa kauli kama yako ametuzaa tupo sita kwa baba mmoja.sasa titizo lake alikua anampenda sana mdogo wangu alienifuata Mimi ni wa kwanza.wadogo zangu watatu walikua hawataki shule.sasa mm namshukulu mungu ingawa nilisoma kwa tabu lakini niliweza kumaliza chuo kwa uwezo binafsi tu.kimbembe nilipokua nasubilia ajila hapo nilikua natukanwa hadhalani nikimuuliza nimekukosea nn hasemi.
Baba angu na wazee wengine walinishauri niende mbali na nyumbani.nikatoka nikaenda mkoa flan nikawa napiga mishe kitaa badae nikaajiliwa huu nimwaka wanne sijawai ongea na mama angu na yeye hajawainitafuta na hajui kama niliajili madogo walionifuata wanamsumbua balaa