IJIGHA NDIO HOME
JF-Expert Member
- Jul 13, 2019
- 760
- 823
Mama au baba?Huwa nina changamoto hii niliamua kukaa kimya. Sijibu chochote. Ukimpa kitu hata asante hakuna. But I don't care
Duuuh mama wengine vichomi kweli[emoji848][emoji848][emoji849][emoji849]Namimi niliwai kutamkiwa kauli kama yako ametuzaa tupo sita kwa baba mmoja.sasa titizo lake alikua anampenda sana mdogo wangu alienifuata Mimi ni wa kwanza.wadogo zangu watatu walikua hawataki shule.sasa mm namshukulu mungu ingawa nilisoma kwa tabu lakini niliweza kumaliza chuo kwa uwezo binafsi tu.kimbembe nilipokua nasubilia ajila hapo nilikua natukanwa hadhalani nikimuuliza nimekukosea nn hasemi.
Baba angu na wazee wengine walinishauri niende mbali na nyumbani.nikatoka nikaenda mkoa flan nikawa napiga mishe kitaa badae nikaajiliwa huu nimwaka wanne sijawai ongea na mama angu na yeye hajawainitafuta na hajui kama niliajili madogo walionifuata wanamsumbua balaa
Your mom is controlling and self absorbed .Cut her off be independent .Ni mama ila ni binadamuHello JF Members,
nimekuja kidg na channgamoto ya kifamilia, ukweli napitia kipindi kigumu sana kifedha imeleta changamoto nyingi sana kwa upande wa maelewano na mzazi haswa mama..ikafikia anasema ni bora angetoa mimba yangu..
nika very frustrated na kauli yake nikamjibu vibaya pia, ila kila mmoja bado anasema nimekosea..ningekaa kimya na nyuma ya yote naona anayekutamkia hayo ni kuwa hauna lolote na hata kuwa kwako hai hana amani na uhai wako.
naambiwa ningevumilia, nisijibu sababu aiibeba mimba miezi tisa, naombeni ushauri..ukiwa na hisia za kidini sawa na pia uwe na hisia za kidunia pia
naombeni ushauri wakuu
Give her silence treatment toHello JF Members,

Ndio umuepuke.siishi nae
siishi nae, na maisha yangu nimekulia na bibi tu
Pole sana dah inasikitishaNamimi niliwai kutamkiwa kauli kama yako ametuzaa tupo sita kwa baba mmoja.sasa titizo lake alikua anampenda sana mdogo wangu alienifuata Mimi ni wa kwanza.wadogo zangu watatu walikua hawataki shule.sasa mm namshukulu mungu ingawa nilisoma kwa tabu lakini niliweza kumaliza chuo kwa uwezo binafsi tu.kimbembe nilipokua nasubilia ajila hapo nilikua natukanwa hadhalani nikimuuliza nimekukosea nn hasemi.
Baba angu na wazee wengine walinishauri niende mbali na nyumbani.nikatoka nikaenda mkoa flan nikawa napiga mishe kitaa badae nikaajiliwa huu nimwaka wanne sijawai ongea na mama angu na yeye hajawainitafuta na hajui kama niliajili madogo walionifuata wanamsumbua balaa
KWA USHAURIwatu mponkuwatetea wazazi tu, kama vile hao wazazi sio binadamu na awakosei
mzazi ni binadamu na anakosea sana sana tu kwa mtoto alafu mbaya zaidi kwa utamaduni wetu wa kitanzania mzazi akikosema ni nadraa sana kumuomba msamahaa mwanae mwaisho mtoto ndio anakuwa mtu wa kuomba misamaha kila siku
tuwaheshimu wazazi wetu na tuwapende lakini tusisite kuwalekebisha wakikosea au tubaki na misimamo yetu kipindi wakienda chaka.