Ushauri: nina D flat but nmepata F ya GS

Ushauri: nina D flat but nmepata F ya GS

myne

Member
Joined
May 17, 2013
Posts
80
Reaction score
5
Jaman samahan xana kwa usumbufu lakin naomba mnishaur mimi ndoto zangu zote nsome mambo ya LAW katika ngaz ya Degree na matokeo yangu ni
HISTORY-D
GEOGRAPHY-D
E/LANGUAGE-D
GS-F
Sasa hii F ndo yanikatsha tamaa kabsa...hivi ni kwel ninaweza kukubaliwa kusoma FACULTY YA LAW???
 
mdogo wangu umekwisha labda uende ualimu diploma. Kwa chuo kikuu GS ndo kila ktu. Ndo kama nauli hata upendeze vp kama huna nauli utabak stend. Ukifeli gs kwa sheria na kanuni za TCU na vyuo vikuu haukubaliki. Jpange urisit gs au vngnevyo nenda diploma.
 
halafu dogo. LAW ni course na si faculty. Ndani ya faculty ndio kuna course mbali mbali mnazoenda kuzisoma chuo kikuu. Faculty ni mdogo wake na college.
 
mdogo wangu umekwisha
labda uende ualimu diploma. Kwa chuo kikuu GS ndo kila ktu. Ndo kama
nauli hata upendeze vp kama huna nauli utabak stend. Ukifeli gs kwa
sheria na kanuni za TCU na vyuo vikuu haukubaliki. Jpange urisit gs au
vngnevyo nenda diploma.

Acha kumzubaisha bwana mdogo, Gs si kitu kwa sasa, kuna wadau wapo Udsm wana F za Gs na wanapiga kama kawa.....labda kwa upande wa Law inaweza kua tatizo....though huyo bwana mdogo wa Udsm anasoma Law enforcement........kwa dogo usisite principle unazo unaruhusiwa kuingia university na Hongera sana.....
 
Samahani mkuu Az 89 huyo dogo wa udsm anayesoma lawa enforcement, matokeo yke ya form six mbali na gs alipata yapi? Naulza ili tutoe mwanga kwa mleta uzi
 
Acha kumzubaisha bwana mdogo, Gs si kitu kwa sasa, kuna wadau wapo Udsm wana F za Gs na wanapiga kama kawa.....labda kwa upande wa Law inaweza kua tatizo....though huyo bwana mdogo wa Udsm anasoma Law enforcement........kwa dogo usisite principle unazo unaruhusiwa kuingia university na Hongera sana.....

thanx alot ndugu kwa ushaur wako
 
mdogo wangu umekwisha labda uende ualimu diploma. Kwa chuo kikuu GS ndo kila ktu. Ndo kama nauli hata upendeze vp kama huna nauli utabak stend. Ukifeli gs kwa sheria na kanuni za TCU na vyuo vikuu haukubaliki. Jpange urisit gs au vngnevyo nenda diploma.

Hivi wewe unajua kama hiyo kauli yako utaua watu kwa presha???
....na kama iko ivyo mwaka huu wangapi watakosa chuo coz gs mwaka huu ni janga la kitaifa......usitake kuondoa furaha za watu hapa
 
usihofu kuna watu mwaka jana wapo hapa udsm law na wamefeli GS usihofu na mwaka huu matokeo yalivyo mabaya utafanikiwa hata udsm utaingia kama wakilegeza masharti ......kila la heri
 
Back
Top Bottom