Niite Profesa
Senior Member
- Jun 19, 2015
- 103
- 116
Bacherol unasifa za kusoma kabisa as equivalent NTL 6 primary.Kimsingi bacherol of primary education hamna tatizo ila upande wa bacherol science with education embu cheki TCU kwanza endapo ungekuwa form six na unamatokeo hayo direct ungeendaHabarini WanaJF,
Mimi ni mhitimu wa Diploma ya Ualimu shule za msingi mwaka 2019...nikiwa na GPA ya 4.0
Naombwa kufahamishwa kama inawezekana kwangu kuweza kusoma Bachelor of Education in Science au Bachelor of Science with Education, Ilhali sikusoma Diploma ya Ualimu wa sekondari.
Alama zangu kwa masomo ya Science O-Level ni:
- Phsics C
- Chemisty C
- Biology C
- Mathematics F
Naamini katika hili jukwaa ndio mahali sahihi napoweza kupata msaada juu ya hili suala. Kumekuwa na mkanganyiko mkubwa sana kwa watu nilokwisaha wauliza juu ya hili suala.
Naomba Kuwasilisha [emoji120][emoji120][emoji120]
Shukrani sana kwa Ushauri 🙏Bacherol unasifa za kusoma kabisa as equivalent NTL 6 primary.Kimsingi bacherol of primary education hamna tatizo ila upande wa bacherol science with education embu cheki TCU kwanza endapo ungekuwa form six na unamatokeo hayo direct ungeenda
Kwanini kiongozi...Nakushauri usomee vitu vingine huko degreee.kila la kheri
Kama sikosei ni kuanzia July au August mkuuHivi kwani application mnaanza lini
Yy anataka ualimu afu wewe unamshauri asome vingine, unadhani wewe unajua kuliko yeye. Kama sikosei umeishia la sabaNakushauri usomee vitu vingine huko degreee.kila la kheri
Haha mkuu lasaba sijafika. Lanne C ...Yy anataka ualimu afu wewe unamshauri asome vingine, unadhani wewe unajua kuliko yeye. Kama sikosei umeishia la saba
Si ungeenda kozi ya afya , because una ufaulu mzuriHabarini WanaJF,
Mimi ni mhitimu wa Diploma ya Ualimu shule za msingi mwaka 2019...nikiwa na GPA ya 4.0
Naombwa kufahamishwa kama inawezekana kwangu kuweza kusoma Bachelor of Education in Science au Bachelor of Science with Education, Ilhali sikusoma Diploma ya Ualimu wa sekondari.
Alama zangu kwa masomo ya Science O-Level ni:
- Phsics C
- Chemisty C
- Biology C
- Mathematics F
Naamini katika hili jukwaa ndio mahali sahihi napoweza kupata msaada juu ya hili suala. Kumekuwa na mkanganyiko mkubwa sana kwa watu nilokwisaha wauliza juu ya hili suala.
Naomba Kuwasilisha [emoji120][emoji120][emoji120]
Nashkuru sana kwa ushauri...Nitaufanyia kaziSi ungeenda kozi ya afya , because una ufaulu mzuri
Hata la 4 hukufika mkuu😀😀Haha mkuu lasaba sijafika. Lanne C ...
Kasome environmental health pale Ruco ni kozi nzuri balaaHabarini WanaJF,
Mimi ni mhitimu wa Diploma ya Ualimu shule za msingi mwaka 2019...nikiwa na GPA ya 4.0
Naombwa kufahamishwa kama inawezekana kwangu kuweza kusoma Bachelor of Education in Science au Bachelor of Science with Education, Ilhali sikusoma Diploma ya Ualimu wa sekondari.
Alama zangu kwa masomo ya Science O-Level ni:
- Phsics C
- Chemisty C
- Biology C
- Mathematics F
Naamini katika hili jukwaa ndio mahali sahihi napoweza kupata msaada juu ya hili suala. Kumekuwa na mkanganyiko mkubwa sana kwa watu nilokwisaha wauliza juu ya hili suala.
Naomba Kuwasilisha [emoji120][emoji120][emoji120]
Hahaha yani...Hata la 4 hukufika mkuu[emoji3][emoji3]
Angejua you have a PhD asingesema😀🤗Hahaha yani...
Sawa mkuu🙏Nitafute DM nikupe miongozo kijana wangu,,,
Asante kwa ushauri...Hiyo environmental health itakuwa ni kwa ngazi ipi mkuuKasome environmental health pale Ruco ni kozi nzuri balaa
Ulipata kazi?Habarini WanaJF,