USHAURI: Nina Diploma ya Ualimu. Je, naweza soma Degree?

Niite Profesa

Senior Member
Joined
Jun 19, 2015
Posts
103
Reaction score
116
Habarini WanaJF,

Mimi ni mhitimu wa Diploma ya Ualimu shule za msingi mwaka 2019...nikiwa na GPA ya 4.0

Naombwa kufahamishwa kama inawezekana kwangu kuweza kusoma Bachelor of Education in Science au Bachelor of Science with Education, Ilhali sikusoma Diploma ya Ualimu wa sekondari.

Alama zangu kwa masomo ya Science O-Level ni:

- Phsics C
- Chemisty C
- Biology C
- Mathematics F

Naamini katika hili jukwaa ndio mahali sahihi napoweza kupata msaada juu ya hili suala. Kumekuwa na mkanganyiko mkubwa sana kwa watu nilokwisaha wauliza juu ya hili suala.

Naomba Kuwasilisha 🙏🙏🙏
 
Habarini WanaJF,

Mimi ni mhitimu wa Diploma ya Ualimu shule za msingi mwaka 2019...nikiwa na GPA ya 4.0

Naombwa kufahamishwa kama inawezekana kwangu kuweza kusoma Bachelor of Education in Science au Bachelor of Science with Education, Ilhali sikusoma Diploma ya Ualimu wa sekondari.

Alama zangu kwa masomo ya Science O-Level ni:

- Phsics C
  • Chemisty C
  • Biology C
  • Mathematics F

Naamini katika hili jukwaa ndio mahali sahihi napoweza kupata msaada juu ya hili suala. Kumekuwa na mkanganyiko mkubwa sana kwa watu nilokwisaha wauliza juu ya hili suala.

Naomba Kuwasilisha [emoji120][emoji120][emoji120]
Bacherol unasifa za kusoma kabisa as equivalent NTL 6 primary.Kimsingi bacherol of primary education hamna tatizo ila upande wa bacherol science with education embu cheki TCU kwanza endapo ungekuwa form six na unamatokeo hayo direct ungeenda
 
Shukrani sana kwa Ushauri 🙏
 
Habarini WanaJF,

Mimi ni mhitimu wa Diploma ya Ualimu shule za msingi mwaka 2019...nikiwa na GPA ya 4.0

Naombwa kufahamishwa kama inawezekana kwangu kuweza kusoma Bachelor of Education in Science au Bachelor of Science with Education, Ilhali sikusoma Diploma ya Ualimu wa sekondari.

Alama zangu kwa masomo ya Science O-Level ni:

- Phsics C
  • Chemisty C
  • Biology C
  • Mathematics F

Naamini katika hili jukwaa ndio mahali sahihi napoweza kupata msaada juu ya hili suala. Kumekuwa na mkanganyiko mkubwa sana kwa watu nilokwisaha wauliza juu ya hili suala.

Naomba Kuwasilisha [emoji120][emoji120][emoji120]
Si ungeenda kozi ya afya , because una ufaulu mzuri
 
Kasome environmental health pale Ruco ni kozi nzuri balaa
 
Ulipata kazi?
 
Back
Top Bottom