Ushauri: Nina hamu kufanya mapenzi kupitiliza

Mama heshima yako kwanza

Ukisema jamani mimi nina washwa sana Heee mashambulizi ni kwamba ni kitombwi nyieeee[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Hivi watu hawafikirii japo tunatumia fake ID, still kuna kaugumu kakuleta uzi wa tatizo lako. Mtu anajikaza kweli kufunguka ili asaidiwe apate ufumbuzi wa tatizo lake. Ila ndo watakuja wafundwaji ooh hujafundwa ndo maana unaleta siri za ndani humu, ila wao wakiwa na matatizo ya familia zao wanayaleta tu khaa. Mtu kama anaona atapata relief kushare tatizo lake, let's respect that mweeh
 

Baada ya kujua fasili ya ‘nympho’ na baada ya kusoma maelezo yake, unadhani diagnosis yangu iko mbali na hilo tatizo lake?
 
Mie kujichua nilianza kutokana na kuwa na hamu sana

Mwanzoni niliona ni normal
Nikipata hamu mr hayupo najichua

Ila naona issue inazidi kuwa serious
Ninampenda sana mume wangu
Yaani hata nikimuona anatabasamu mie naloa.
Basi Kuna mengi saana kwako...

1. Huwenda kipindi ulipoanza kupata hamu kilikuwa ni kipindi cha kawaida kinachotokea kwa kila mtu ila ulipoaanza kujichua ukakidumaza kikaendelea hadi leo.

Unahitaji ushauri wa kisaikolojia.

Nitakachokushauri haya:
1. Kwanza kaa mbali na hawa wanaokuita inbox watalimaliza tatizo lako wanaweza kukuharibia ndoa yako. Wakemee nami nitaenda mlimani kukuombea.

2. Hamu ya ngono ni suala la kisaikolojia linaloweza kukuondoka akilini kama utanuia kuanzia akilini hadi kwenye mazingira uishiyo.

Hapa:
-hikikisha unakaa mbali na chochote unachohisi kitakushawishi kuwaza ngono, jukwaa la wakubwa, MMU, n.k

-tafuta cha kufanya kitakachokusaulisha hiyo hamu. Hapa tofautisha kuwa-busy na kuwa kazini. Kila mtu anaweza kuwa na kazi tena nzito ila sio kila mmoja anaweza kuwa busy au ku-concentrate kwenye hiyo kazi..lielewe kabisa.

-Inaonekana pia upo mwenyewemwenyewe muda mwingi. Jitahidi muda uliyopo free chukua watoto utoke nao mkatembee kama hauna hata wa jirani zako nendeni public places mkakae mpige story.. huwezi kuwaza ngono hapa otherwise unanitania

-fanya mazoezi lakini yawe serious... Nenda hata hapo Jk gerezani zunguka uwanjani mara nne kwa siku ukifika nyumbani nyonga zinauma. Ngono utaiskia.
 
Mama heshima yako kwanza

Ukisema jamani mimi nina washwa sana Heee mashambulizi ni kwamba ni kitombwi nyieeee[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Wanawake tunaaminika kwa kuzungumza matatizo yetu ndio maana magonjwa ya pressure na stress sio rahisi kutuua tofauti na wanaume. Ila humu kuna watu hawataki.
Cha ajabu wanaume ndio wanasifika kwa kuwa na vifua vya kutunza mambo, ila humu wanamwagika tu na kusifiana ujinga. Ila hawaonekanibwa ajabu!!! Seriously!!!
 
You can say that again sweetheart.
 
Hornet hope ushapata msaada maana kuna elimu kubwa sana imetolewa katika uzi huu. Tatizo lako lipo na haupo peke yako, sema wengi hawasemi tu. Usijisikie vibaya kwa maneno machache ya miungu watu wanaokukatisha tamaa na kukufanya ujione wa ajabu. Fuata tu ushauri wa kujenga upate msaada mama.
 
Roho watakatifu wamejaa humu, ni ajabu sana hulka zao, woga matokeo yake ndo hayo mtu unajipiga vidole ili kujitulizia munkari kumbe ndo kuongeza tatizo badala

Sasa kama hivi kuna dawa ya hiyo shida ukijifungia tu ndani tungeijulia wapi mi mwenyewe nampongeza sana sana maana hata mimi nilishindwa jinsi ya kuanza ndo maana nimedandia japo tatizo langu na lake ni tofautipo lkn ndo mulemule
 
BAHATI MBAYA UKAANGUKIA KWENYE MABOX

JUST JOCKING TICHAA

Hahaaaa....unajua hata maana ya mbeba mabox nayo imebadilika siku hizi.

Ila watu wengi bado wana commit etymological fallacy wakidhani maana bado ni ile ile ya uhalisia wa maneno.

Hapo umepata msamiati mwingine...etymological fallacy.....Google it.

Hahahaaaaaa I’m a baaaaaaaaad [as in good/great/awesome] man.
 
Yaan mtu asome mambo ya jf ndo aka apply kwenye maisha yake bila kutafakari? Huyo atakuwa na matatizo yake mwenyewe. Wenye akili wanajifunza kuwa kuna wanaume cheaters na wanawake cheaters pia. Then mwenyewe anaamua afuate njia gani? Km wanaume mnakera na mna tabia mbaya tunawachana live
 
Mficha uchi hazai, yakikushinda omba tu msaada. Hata wakikujudge, wewe ndo ushapata tiba yako, afu unayejua uzito wa mzigo ulioubeba ni wewe, sio wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…