Asanteeee kuna bill yako kwa mangiHahahaaa. Itabidi my dear sababu kuanza kujitangazia kukimbiwa kwa jambo ambalo hata hujui kama lina uhalisia inachekesha saa nyingine. Hahahahaaa.
Ila kama ni uzito leo nimepungua aisee. Sababu kuanzia asubuhi kukaa na kitu rohoni halafu sina pa kukitua inakuwa hatari sana , sa sijui huu uzi usingekuwepo sumu hii ningeimwaga wapi. Hahahaaaa.
Hahahaaa. Kila mtu apambane na fake id yake kwa kweli. Na tusipangiane cha kuandika. [emoji12] [emoji12] [emoji12]
HahahahaSafi Dada hilo povu nani amekuvuruga si unajua naweza pigana kwa ajili yako eenh
Hahahaa. Ngoja nikaagize uje kulipa Mmasai mwenzangu.Kunywa soda naja lipa mpenzi
Hahaaa. [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Ni wewe au????
Sio kwa kufunguka huko!!! Inabidi nikuvue uenyekiti
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Nawapendaga tu mjue
Nakuja dada. Ila mie napenda soda ya healtho.Asanteeee kuna bill yako kwa mangi
TehHahahaha
Wakunivuruga hajazaliwa bado, nilitoa mtazamo wangu tu my dear
Kunywaaaa bill ikuje kwanguNakuja dada. Ila mie napenda soda ya healtho.
Hahahaaaa
I miss youAsanteeee kuna bill yako kwa mangi
Usijali my dearTeh
Hapo sawa ningeingilia ugomvi siunajuaga vile sipendi mtu akuvuruge
Miss u too mzee wa churaI miss you
Sawa my dearHahaaa. [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Usinivue bana wa kwetu. Ni leo tu.
Sawa mmasai wangu, ni venye nakupenda tuuHahahaa. Ngoja nikaagize uje kulipa Mmasai mwenzangu.
una Pepo wa ngonoYaani ninaweza nikatoka kufanya ila ndani ya nusu saa najikuta joto limefika 40.
Hili ni tatizo au ni hali ya kawaida?
Hii hali inanikera sana najitahidi kuwa busy ila nikiwa katikati ya shughuli zangu najikuta napata hamu ya kufanya mapenzi sana.
Mwili unakua na msisimko wa ajabu najaribu kujizua ila imekua ngumu.
Mie nilikua mtu wa hasira nimejifunza kujizuia na nimeweza ila hamu ya sex nashindwa. Mume ninae ila hayupo muda wote na hata akiwepo anaweza kutimiza wajibu na baada ya muda nakua nataka tena.
Hii hali imenipelekea kucheat ila sijapata nafuu.
Wanasaikolojia, wataalamu wa afya ya uzazi na viongozi wa dini naombeni ushauri namna ya kulitatua hili tatizo.
Hii movie nlipreview nkaishia njiani mana sio kwa kufanyana kule chaa..Sexual addiction.... girl you have a very serious issue.
Angalia movie inaitwa ADDICTED umuone mwenzio.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] mi mbona team sibagui iwe flat, Chura,kobe,utege nkMiss u too mzee wa chura