Ushauri: Nina hamu kufanya mapenzi kupitiliza

Ushauri: Nina hamu kufanya mapenzi kupitiliza

Hahahaaa. Itabidi my dear sababu kuanza kujitangazia kukimbiwa kwa jambo ambalo hata hujui kama lina uhalisia inachekesha saa nyingine. Hahahahaaa.

Ila kama ni uzito leo nimepungua aisee. Sababu kuanzia asubuhi kukaa na kitu rohoni halafu sina pa kukitua inakuwa hatari sana , sa sijui huu uzi usingekuwepo sumu hii ningeimwaga wapi. Hahahaaaa.


Hahahaaa. Kila mtu apambane na fake id yake kwa kweli. Na tusipangiane cha kuandika. [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Asanteeee kuna bill yako kwa mangi
 
Yaani ninaweza nikatoka kufanya ila ndani ya nusu saa najikuta joto limefika 40.
Hili ni tatizo au ni hali ya kawaida?

Hii hali inanikera sana najitahidi kuwa busy ila nikiwa katikati ya shughuli zangu najikuta napata hamu ya kufanya mapenzi sana.

Mwili unakua na msisimko wa ajabu najaribu kujizua ila imekua ngumu.

Mie nilikua mtu wa hasira nimejifunza kujizuia na nimeweza ila hamu ya sex nashindwa. Mume ninae ila hayupo muda wote na hata akiwepo anaweza kutimiza wajibu na baada ya muda nakua nataka tena.

Hii hali imenipelekea kucheat ila sijapata nafuu.

Wanasaikolojia, wataalamu wa afya ya uzazi na viongozi wa dini naombeni ushauri namna ya kulitatua hili tatizo.
una Pepo wa ngono
 
Back
Top Bottom