Ushauri: Nina hamu kufanya mapenzi kupitiliza

Tatizo la mwanamke kaleta mambo ya siri ya ndoa hadharani.

Bora hata angemshauri mumewe atafute mmewenza wa kumshughulikia vizuri, habari zao ziwe faragha.

Sasa hapa kaleta mtafaruku mabazazi yote yamejaa PM.
 
Hapa vumbi la Congo litahitajika.... ngoja nirudi nije kufanya biashara kwenye hii thread
 
tii kiu yako ila kuhalali, .... Hamu haiiishi maana akili inajua wa kutimiza haja zako yupo hata kama mumeo hayupo, so acha kucheat, amua kabisa kuacha, umini mume anakutosha, na kwa wakati akiwa mbali muwe na mawasiliano mazuri ya mara kwa mara, mawasiliani ya kimaHaba hakika hauta waza hayo tena mpaka mumeo akiwepo
 
Tatizo bado hujampata mkazaji wa haswa anayekuweza
 
Hilo ni tatizo
Haufiki orgasim ni kawaida zo ni vizur kama unafeel coz kuna asilimia kubwa ya madem hawajisikii hamu ya kutiwa
Sababu ya tatizo lako inaweza kuwa ulishawah kupetuka mipaka ( kuenda beyond) katika Sex
Naamisha either ushawah kutumia dildo
Au ushawah kufany mapenz kinyum na maumbile
Solution
Muone daktar tatizo linatibika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…