Ushauri: Nina hamu kufanya mapenzi kupitiliza

Ushauri: Nina hamu kufanya mapenzi kupitiliza

Kuna uzi umeletwa leo mwanamke akilalamika kuwa mumewe hamridhishi akipiga kimoja chali na mwanaume ashakiri ana tatizo, ila cha ajabu akaanza kulaumiwa mwanamke tena bahati mbaya hadi na wanawake wenzie. Eti haridhiki maana alishapitia mikuyati mingi. Nikajiuliza mwanaume anakiri ana tatizo, sasa tatizo la mwanamke hapo nini?
Tatizo la mwanamke kaleta mambo ya siri ya ndoa hadharani.

Bora hata angemshauri mumewe atafute mmewenza wa kumshughulikia vizuri, habari zao ziwe faragha.

Sasa hapa kaleta mtafaruku mabazazi yote yamejaa PM.
 
Hapa vumbi la Congo litahitajika.... ngoja nirudi nije kufanya biashara kwenye hii thread
 
tii kiu yako ila kuhalali, .... Hamu haiiishi maana akili inajua wa kutimiza haja zako yupo hata kama mumeo hayupo, so acha kucheat, amua kabisa kuacha, umini mume anakutosha, na kwa wakati akiwa mbali muwe na mawasiliano mazuri ya mara kwa mara, mawasiliani ya kimaHaba hakika hauta waza hayo tena mpaka mumeo akiwepo
 
Hilo ni tatizo
Haufiki orgasim ni kawaida zo ni vizur kama unafeel coz kuna asilimia kubwa ya madem hawajisikii hamu ya kutiwa
Sababu ya tatizo lako inaweza kuwa ulishawah kupetuka mipaka ( kuenda beyond) katika Sex
Naamisha either ushawah kutumia dildo
Au ushawah kufany mapenz kinyum na maumbile
Solution
Muone daktar tatizo linatibika
 
Back
Top Bottom