Ushauri: Nina hamu kufanya mapenzi kupitiliza

Mkuu natafuta grisi aliyosema mkulu janaa[emoji16][emoji16][emoji16]maana hivi vyuma sijui vya enzi ya Yonaaa au Daudii[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4] vipi huko ulipo lakin
Hahahaaa. Ukipata na mie nigawie mkuu.

Huku poa kabisa tunazidi kupambana.
 
ndugu yangu inategemeana !unaweza sema mkeo mvivu kududuana !kumbe sio mvivu unamtia uvivu wewe walah tena niamini mimi ! mie mwenyewe nimechagua fungu la UVIVU! ila sio MVIVU hata kidg !CHUNGUZA
Hapo mm nawezaje kumtia uvivu ....funguka kidogo

nipate mwanga...maana wanawake mnajielewa

wenyewe
 
Hapo mm nawezaje kumtia uvivu ....funguka kidogo

nipate mwanga...maana wanawake mnajielewa

wenyewe

kapeace hebu nisaidie kumjibu shemela !nasema hv unaweza sema mkeo mviviu kutiana kumbe sio mvivu wewe ndo wamtia uvivu! mfungukie !we pande hizi upo njema zaid
 
Hahahaaa. Ukipata na mie nigawie mkuu.

Huku poa kabisa tunazidi kupambana.
Mkuuu dalili ya kupata siioni[emoji16][emoji16][emoji16]lakini ntafanyajaeee itabidi nikupe tuu, naona uko kwenye uzi hatarii huuu[emoji16][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
 
[emoji16] [emoji16] [emoji15] [emoji15] [emoji187] [emoji106] [emoji106] [emoji119] [emoji122]
 
Na vile sikimbiagi hii itakua ligi ya UEFa sio epielo hahahaha
Hahahaaa. UEFA ndogo bwana hii inakaribia World Cup.

Na mwisho wa siku kila mtu anasimamia kile anachojisikia yaani haina kufuata mkumbo. Hahahaaa.
 
Mkuuu dalili ya kupata siioni[emoji16][emoji16][emoji16]lakini ntafanyajaeee itabidi nikupe tuu, naona uko kwenye uzi hatarii huuu[emoji16][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Itabidi tu unipe mkuu ili na mie vyuma nivilainishe. Hahahaa.

Nakaribia kutoka humu Mkuu. Ila sio kwa kunifuatilia kimya kimya kiasi hicho.
 
Itabidi tu unipe mkuu ili na mie vyuma nivilainishe. Hahahaa.

Nakaribia kutoka humu Mkuu. Ila sio kwa kunifuatilia kimya kimya kiasi hicho.
Mkuuu nyuzi zako naelekea kuzinyapianyapiaa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]toka kuleee kwenye uzi wa wanawake walevii mpaka hukuu huyu mwenye hamu isotamalaki[emoji16][emoji16]
 
Mkuuu nyuzi zako naelekea kuzinyapianyapiaa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]toka kuleee kwenye uzi wa wanawake walevii mpaka hukuu huyu mwenye hamu isotamalaki[emoji16][emoji16]

Hahahaaa. Umenifanya nicheke peke yangu. Lol

Shukrani sana Mkuu. [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Kabisa sasa tatizo kuna vinyamkera vinataka kulazimisha mawazo yao yawe ya wote khaaa utazan tunagawiana bando

Kho kho khooo uhuuupssss aiseee hahahah
Hahahaaa. UEFA ndogo bwana hii inakaribia World Cup.

Na mwisho wa siku kila mtu anasimamia kile anachojisikia yaani haina kufuata mkumbo. Hahahaaa.
 
Syrgery ya nn walimfanyia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…