Ushauri: Nina hamu kufanya mapenzi kupitiliza

Ushauri: Nina hamu kufanya mapenzi kupitiliza

Unasumbuliwa na jini mahaba mama

Hapo inahitajika ufanyiwe maombezi .

KAMA UPO DSM tuwasiliane pm nikuelekeze kwa Mtumishi wa Yesu Mnazareti ili akuweke huru dhidi ya mwovu jini mahaba.
 
Yaani ninaweza nikatoka kufanya ila ndani ya nusu saa najikuta joto limefika 40.
Hili ni tatizo au ni hali ya kawaida?

Hii hali inanikera sana najitahidi kuwa busy ila nikiwa katikati ya shughuli zangu najikuta napata hamu ya kufanya mapenzi sana.

Mwili unakua na msisimko wa ajabu najaribu kujizua ila imekua ngumu.

Mie nilikua mtu wa hasira nimejifunza kujizuia na nimeweza ila hamu ya sex nashindwa. Mume ninae ila hayupo muda wote na hata akiwepo anaweza kutimiza wajibu na baada ya muda nakua nataka tena.

Hii hali imenipelekea kucheat ila sijapata nafuu.

Wanasaikolojia, wataalamu wa afya ya uzazi na viongozi wa dini naombeni ushauri namna ya kulitatua hili tatizo.
Mtume Mohammed aliruhusu wanaume wenye kuwa na nguvu za ziada kuoa wanawake hadi wanne,hali ya kuwa na matamanio zaidi ya kufanya mapenzi pia ipo kwa wanawake,ila kwa unyonge walionao wanawake hawapewi nafasi hiyo ya kibailojia ya kuwa wanaume zaidi ya mmoja.Lakini hata hivyo wanawake wanaokuwa na matamanio zaidi dawa yake ni kulala na wanaume zaidi hadi hamu itakapomalizika.Kwa wewe bora kuwa single ili upate nafasi ya kubadilisha wanaume wa kukutosheleza.Ukiwa kwenye ndoa mume atakukata mapanga.
 
Sidhani Kama muhusika amekusudia kufanya, ukisoma andiko lake utabaini kuwa anaomba ushauri ili aondokane na tatizo alilonalo.

Hayo "Mazingira biashara siasa na elimu" yana majukwaa yake ungeweza kupita huko.

Hebu tuache hii tabia mpya ya "kuwananga" watu waletao matatizo yao ili waelimishwe na kuelimika.
Wasio na hekima wanajulikana kupitia comment zao.
 
Pole sana dadangu jaribu Kufanya sana mazoezi yanasaidia kuregulet mwili
 
Wasio na hekima wanajulikana kupitia comment zao.
Kuondokana na tatizo hilo ni kufanya mapenzi hadi shida hiyo iishe.Ni wazi kuwa mwanaume mmoja kama alivyosema yeye hamtoshi.Wewe unadhani dawa yake ni nini? Mtu mwenye njaa dawa yake si vidonge bali chakula.Vivo hivyo mwenye hyperlibido dawa yake ni mwanamke na kwa mwanamke dawa yake ni mume.
 
Its more than that,
Tunaweza sex a whole day and night nakojoa mpaka naishiwa nguvu

Ila nikioga tu
Nakua kama sijafanya chochote
Nakuelewa sana usemalo, hakuna mwanaume awae yoyote awezae kukidhi haja yako, hata awe kitombi vipi
 
Yatizo lako nipo mfumbuzi hapa njoo Pm fast Ila jikande na maji ya vuguvugu huwa inasaidia
 
Back
Top Bottom