Ushauri: Nina hamu kufanya mapenzi kupitiliza

Ushauri: Nina hamu kufanya mapenzi kupitiliza

Mbona atashindwa mwenyewe.......nina huduma inaitwa "private in a desert"....... pumzi yake tu kama ataweza ila naweza nikapiga wiki nzima hadi aseme basi.
Wee unazungumzia wiki mkuu,
Mimi ilikua km dozi ya ARV kwa mwezi umekosa ni zile siku 3 au 4 za hedhi tu ndani miezi 8 hadi nilikonda na kusinzia hovyo kazini,
Na gemu zetu ilkua sio chini ya masaa mawili bila kupunzika mwendo wa kubadili style tuu,
Hawa nenda umalize haja yako usepe sio kuwaridhisha,
Mnapiga gemu wanakojoa hadi anazimia au kukosa nguvu, akienda kuoga akirudi atakuambia anahisi kama hajaguswa.
 
Hivi kumbe sina nafasi!![emoji125][emoji125][emoji125]
Nafasi ya aina gani, zipo nyingi ujue!!!!!

Maandalizi mema ya siku kuu ya Christmas na mwaka mpya!!!!

Karibu kwetu!!
 
Hujakutana na nchi8 iliojazia utaomba pooooo mwenyewe na hamu itakuisha
 
Nafasi ya aina gani, zipo nyingi ujue!!!!!

Maandalizi mema ya siku kuu ya Christmas na mwaka mpya!!!!

Karibu kwetu!!
Ile nafasi hata wewe unaijua buanaa[emoji127]
Asante Sakayo,
Nami nikutakie mapumziko mema, sikukuu njema na heri ya mwaka mpya in advance.
 
Ile nafasi hata wewe unaijua buanaa[emoji127]
Asante Sakayo,
Nami nikutakie mapumziko mema, sikukuu njema na heri ya mwaka mpya in advance.
Nashukuru sana Mimi!!!

Hiyo ya undugu ipo imejaa tele Eli...
 
Ile nafasi hata wewe unaijua buanaa[emoji127]
Asante Sakayo,
Nami nikutakie mapumziko mema, sikukuu njema na heri ya mwaka mpya in advance.
Mwenzio ana ham kila dakika Kuna sikukuu njema tena hapo.......
 
Ok; hata mimi suala hilo nilikua nalo sana tu.
Kua mbali na mme wako sio sababu hata akiwepo unaweza kucheat na hayo yote yanasababishwa na tamaa za ngono si chengine.

Unapokua umekaa peke yako ndani kwako hayo yote yanakuja na unaweza kutembea na hata shemeji yako, jibu litabaki pale pale hiyo ni tamaa ya ngono.

Ukiwa mbali na mihemko ya watu tofauti tofauti hiyo ham inapotea ila ukijichanganya tu na jiji yatakuja yote hayo.
Au ukiwa na utani wa kugusana na wafanya kazi wenzio wa kiume hayo yote yatakuja.
 
Asante

Naishukuru Jamiiforums nimepata msaada mkubwa sana

Nilikua sielewi ila nimegundua ni sehemu ya hormone imbalance

Ni tatizo linaloweza kufanyiwa tiba
Na niko kwenye procedure..

Thank you @all.
can you share with us please
 
Back
Top Bottom