Ushauri: Nina hamu kufanya mapenzi kupitiliza

Ushauri: Nina hamu kufanya mapenzi kupitiliza

Nyie mnaojifanya perfect humu nendeni mkawe mashemasi makanisani

Au mjitolee kuwa kama mama Maria mzisaidie jamii na huo uperfect wenu mxiiieww

Nimewaobserve kwenye nyuzi tofauti tofauti sasa endeleeni na hapa.

I have a serious problem
Inanifanys naumwa kichwa kupita kiasi mnakuja kuhororoja hapa.
Nilichofanya ni kuzoom waliokupa like nami nikagonga kangu haraka nishawajua waambie nawasalimu tena saana.

ulishawahi kujichua?? Je, sex unavyofanya unafanya na unayempenda au unafanya naye kwasababu unahamu tu?
 
Yaani ninaweza nikatoka kufanya ila ndani ya nusu saa najikuta joto limefika 40

Hili ni tatizo au ni hali ya kawaida?
Hii hali inanikera sana najitahidi kuwa busy ila nikiwa katikati ya shughuli zangu najikuta napata hamu ya kusex sanaa

Mwili unakua na msisimko wa ajabu najaribu kujizua ila imekua ngumu

Mie nilikua mtu wa hasira nimejifunza kujizuia na nimeweza ila hamu ya sex nashindwa

Mume ninae ila hayupo muda wote na hata akiwepo anaweza kutimiza wajibu na baada ya muda nakua nataka tena.

Hii hali imenipelekea kucheat ila sijapata nafuu.

Wanasaikolojia,wataalamu wa afya ya uzazi na viongozi wa dini naombeni ushauri namna ya kulitatua hili tatizo.
Punguza kujisugua ikiwezekana acha kabisa
 
Mkuu
Sidhani kama kuna mwanamke anayeweza kuisaliti ndoa sababu ya maneno ya Jf, huyo atakuwa sii mwanamke timamu.

Wachache wamo wenye busara zao, na hao wenye mawazo mgando huwezi wabadilisha kamwe. Ndivyo walivyo na ujue tabia haina dawa Mkuu!!!

La muhimu humu kila mtu asimamie anachoamini tu, za kuambiwa changanya na zako!!

Punguza hasira, ya humu ni mengi mno!!!
Jirani[emoji106] [emoji106] [emoji122] [emoji122]
 
Well said.utakua na Hii shida..unawez pata tiba lakini kwa supplements nutrients na pia self control.ntafute for more details ntakupa food supplement

mhhh kama sio forever wewe mhh napita
 
pole sana Hornet my dear !au huenda hufiki kileleni unabaki njiani tu ? mie nadhan tafuta kazi ngumu za kukuhchosha mwili na akili !
pia nenda hosp!maana malaika humu washajitokeza basi tafarani !sijui kwann watu wamezoea kunyooshea wenzao madole jaman !mtu ameamua kufunguka anakuja mwingine na vibwebwe juu !dah ! mtu mwingine huenda kalogwa au mijipepo lakini WAJA WA HUMU SIWAWEZI KWAKWELI ! kudos kwa wote mliochukulia jambo lake in a postive ways !
hongereni malaika wa jf
Nafika nalowesha mashuka

Ila baada ya muda mambo yanakua yale yale

Halafu nakua kama misuli inakaza kupambana na hiyo hali sasa naumia kuanzia kwa bibi mpaka kichwani.

Kazi nnazofanya hahaha zinaugumu wa kutosha
Hata ratiba yangu iko full ila ndo hivyo mwili unakua unahitaji hata pale akili inapokua inawaza mambo mengine.
 
You have all the signs of being a nymphomaniac.

Uzoefu wako unahitajika kumsaidia !Hahaaaaaaaaaaaaa

Urban Dictionary: nymphomaniac
UrlAdvisorGoodImage.png

Urban Dictionary: nymphomaniac
Hypersexuality: a female whose sex drive is obsessively high. Considered a mental illness, coloqiually means a horny girl. Not to be confused with slut or skank where one's sexual dignity is pathetically low, nymphomania is simply related to an abnormally high sex drive.
 
Ananikula poa sana nasquirt nafika kileleni kawaida

Ila akiondoka tu hamu inaanza upya
Inanifanya najisikia vibaya mwili haupo normal hata kidogo.
Polee mno ebu jaribu kwenda kwenye maombi
 
Back
Top Bottom