Ushauri: Nina hamu kufanya mapenzi kupitiliza

Ushauri: Nina hamu kufanya mapenzi kupitiliza

Kweli na nilivyo mbishi sikimbii mtu mie. Jion njema pia my dear
Hahahaaa. Umeonaeeeee.Na penye kupinga tutapinga tu aiseee. Hahahaa.

Hakuna mtoto wa Chekechea au Primary humu eti kwamba aongozwe nini aandike. Uwe na jioni njema mwaya sababu sio kwa kucheka huku leo.

Ila wacha jf iitwe jf. [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
duh na kucheat tayari.......wanakufikisha??...namuone huruma mmeo..
 
Hahahaa. Mie pia nashangaa ujuwe hata iweje hatuwezi kufanana mawazo yetu banaaa.

Halafu sijajuaga kumbe na sisi wanawake tunapendaga sana ligi. Eti Numbisa, emmy akikupuuza basi utasema amekukimbia. Duuuh.

Fake ids hizi zinaweza tutoa roho kwa presha. Hahahahaaaa

Emmy chaupole hawezi ligi na hajaizowea. Hahaaaaa.
Kunywa soda naja lipa mpenzi
 
Basi Kuna mengi saana kwako...

1. Huwenda kipindi ulipoanza kupata hamu kilikuwa ni kipindi cha kawaida kinachotokea kwa kila mtu ila ulipoaanza kujichua ukakidumaza kikaendelea hadi leo.

Unahitaji ushauri wa kisaikolojia.

Nitakachokushauri haya:
1. Kwanza kaa mbali na hawa wanaokuita inbox watalimaliza tatizo lako wanaweza kukuharibia ndoa yako. Wakemee nami nitaenda mlimani kukuombea.

2. Hamu ya ngono ni suala la kisaikolojia linaloweza kukuondoka akilini kama utanuia kuanzia akilini hadi kwenye mazingira uishiyo.

Hapa:
-hikikisha unakaa mbali na chochote unachohisi kitakushawishi kuwaza ngono, jukwaa la wakubwa, MMU, n.k

-tafuta cha kufanya kitakachokusaulisha hiyo hamu. Hapa tofautisha kuwa-busy na kuwa kazini. Kila mtu anaweza kuwa na kazi tena nzito ila sio kila mmoja anaweza kuwa busy au ku-concentrate kwenye hiyo kazi..lielewe kabisa.

-Inaonekana pia upo mwenyewemwenyewe muda mwingi. Jitahidi muda uliyopo free chukua watoto utoke nao mkatembee kama hauna hata wa jirani zako nendeni public places mkakae mpige story.. huwezi kuwaza ngono hapa otherwise unanitania

-fanya mazoezi lakini yawe serious... Nenda hata hapo Jk gerezani zunguka uwanjani mara nne kwa siku ukifika nyumbani nyonga zinauma. Ngono utaiskia.
Hayo nimeyafanya

Naomba maombi yako yatimie

Mie huko pm wala sihangaiki nao waache wajinadi tu

Gym nimeshindwa nikiwaangalia wakaka wanavyofanya mazoezi napata mfadhaiko

Ila kuna ushauri wa kwenda hospital nimeupata nitaufanyia kazi.
 
Hahahaaa. Itabidi my dear sababu kuanza kujitangazia kukimbiwa kwa jambo ambalo hata hujui kama lina uhalisia inachekesha saa nyingine. Hahahahaaa.

Ila kama ni uzito leo nimepungua aisee. Sababu kuanzia asubuhi kukaa na kitu rohoni halafu sina pa kukitua inakuwa hatari sana , sa sijui huu uzi usingekuwepo sumu hii ningeimwaga wapi. Hahahaaaa.


Hahahaaa. Kila mtu apambane na fake id yake kwa kweli. Na tusipangiane cha kuandika. [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Ni wewe au????
Sio kwa kufunguka huko!!! Inabidi nikuvue uenyekiti
 
Hahahaa. Mie pia nashangaa ujuwe hata iweje hatuwezi kufanana mawazo yetu banaaa.

Halafu sijajuaga kumbe na sisi wanawake tunapendaga sana ligi. Eti Numbisa, emmy akikupuuza basi utasema amekukimbia. Duuuh.

Fake ids hizi zinaweza tutoa roho kwa presha. Hahahahaaaa

Emmy chaupole hawezi ligi na hajaizowea. Hahaaaaa.
Hahahaha eti kundi la watakatifu aiseee yaan mtu ujiachie kukoment na kutoa mawazo yako from nowhere unaanza kashfiwa na kubadilishiwa maneno. Mwee mwee mweee(in senga's voice)
Nawapendaga tu mjue
 
Back
Top Bottom