Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,486
- 51,156
- Thread starter
- #421
Nilishaacha kucheattii kiu yako ila kuhalali, .... Hamu haiiishi maana akili inajua wa kutimiza haja zako yupo hata kama mumeo hayupo, so acha kucheat, amua kabisa kuacha, umini mume anakutosha, na kwa wakati akiwa mbali muwe na mawasiliano mazuri ya mara kwa mara, mawasiliani ya kimaHaba hakika hauta waza hayo tena mpaka mumeo akiwepo
Nipo commited sana nowdays
Manake hata nikicheat shida ni ile ile.