Otto Mendez
Member
- May 1, 2017
- 50
- 13
Mkuu kweli au unachezesha watu akili?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UPO SAHIHI MKUU....HUWEZI KUWA NA PESA HIZO HALAFU HUJUI CHA KUFANYIA UNATEGEMEA WATU WAKUUMIZIE KICHWA NINI CHAKUFANYA..PESA PEKEE SIO MAFANIKIO YA BIASHARA..HUMU ATAPEWA MAWAZO MEPESI..KIKUBWA YEYE AJE NA WAZO HALAFU WATU WAMSAIDIE KUBORESHA AU KAMA KUNA WATU WANA UZOEFU WA HIZO BIASHARA WATAMFUNGUA..HATA HAO WANAOJIITA CONSULTANT WATAMLIA MPUNGA TU..MAANA KAMA WAO WANA HIZO IDEAS ZA BIASHARA ZA KUWAPA WATU PIA WAO WANGEKUWA WAMESHAZIFANYA AU WANAFANYA.Hivi kuna mtu mwenye hizo hela afu hajui afanye nini?
Au mmeuza nyumba ya urithi?
NimeipendaMkuu, hongera sana. Nenda pale TATA, kawaone wakuuzie mabasi mawili... Unalipa advance kama mia arobaini na nyingine utamalizia. Ukinunua zile basi zinaweza kukaa miaka mitano zikapiga kazi fresh tu. Ila kabla hujazitia barabarani, hakikisha unazikatia BIMA kubwa...
Kwa siku gari inaleta laki mbili, so kwa mwezi unahesabu milioni sita kwa basi moja na kwa mwaka ni milioni 72 (Toa gharama nyingine unabaki na kama 50M) kwa mwaka. Kwa miaka mitano unagenerate kama M 250 kwa basi moja.
Hi wapendwa kwa rehma zake mwenyezi Mungu, nimepata haka kamzigo naomba ushauri ili kesho yangu iwe na kheri niwekeze katk biashara gani na mtaji huu
asanteni kwa maoni
Inategemea wewe unataka kupata faida kubwa zaidi au ya kawaida tuHi wapendwa kwa rehma zake mwenyezi Mungu, nimepata haka kamzigo naomba ushauri ili kesho yangu iwe na kheri niwekeze katk biashara gani na mtaji huu
asanteni kwa maoni
mie sina ushauri ila nakuomba mkuu hiyo rehema ya Mungu tugawane soteHi wapendwa kwa rehma zake mwenyezi Mungu, nimepata haka kamzigo naomba ushauri ili kesho yangu iwe na kheri niwekeze katk biashara gani na mtaji huu
asanteni kwa maoni
Mkuu...ningekuwa na uwezo wa KUONGEA na Bosi wa Tanzania,Me nakushauri wekeza katika fixed deposit utapata 21,000,000 kama retun ambapo ukiongea nao vizuri utapata 1,750,000 kila mwezi hiyo ni retun tuu apo nazungumzia return ya 14% na unaweza pia chukua hiyo 21 milion up front ukitaka for 1 year
Mkuu karibu uwekeze kwenye housing sector.. Tujenge budget homes...kuna mipesa ya kumwagaNimepata kihala hii fedha ndugu yangu. niliwahi post hapa biashara yangu mchina kaja alikuwa anahitaji lile eneo coz lilikuwa karibu na town katoa hela.
UjingaWEKEZA KATIKA VIWANJA NA NYUMBA.HAPO UNQ NYUMBA KAMA SITA HIVI ZA KITANZANIA ZILIZO BORA.HUU NDO UTAJIRI USIO NA HASARA
UkichaaaMe nakushauri wekeza katika fixed deposit utapata 21,000,000 kama retun ambapo ukiongea nao vizuri utapata 1,750,000 kila mwezi hiyo ni retun tuu apo nazungumzia return ya 14% na unaweza pia chukua hiyo 21 milion up front ukitaka for 1 year
For more info ni pm