maulidimakalani
Member
- Mar 12, 2017
- 25
- 4
Tukutane maeneo ya sinza nije nikushauli kwa vitendo yaan live
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tukutane maeneo ya sinza nije nikushauli kwa vitendo yaan live
Mzee baba toa ushauri au unataka awake dau kwa kila atakayemshauri???Utaendelea kuwa maskini, kwasababu wewe ni maskini wa mawazo; haingii akili eti mpaka unapata milioni 80 hujui cha kufanya, labda umekwapua mahali;siwezi kushiriki kumwendeleza mwizi (fisadi). Kanuni ya biashara, huwa linaanza WAZO, halafu MPANGO, baadae MTAJI. Sasa wewe uliwezaje kutafuta pesa kabla ya kuwa na mpango. Mahitaji ya watu katika eneo husika ndio hugeuzwa kuwa fursa ya biashara.