Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,286
- 39,418
Wapambanaji mambo ni vipi,
Mwezi unakata hata sijui nifanye biashara gani sababu kila nikicheki biashara ya kufanya sioni.
Nilikua najichanga changa mwezi uliopita nikapiga hesabu nikapata million sita na point kazaa ila sasa shida inakuja kwenye kuchagua biashara ya kufanya kwani sipati majibu sahihi.
Humu ndani kuna wataalam wa masuala ya biashara nipeni ushauri nifanye biashara gani ambayo nitaona matunda,? Nipo DSM.
NB: Atakae nipa business plan nzuri zawadi ipo