Ushauri: Nina milioni 6 lakini sijui nifanye biashara gani

Ushauri: Nina milioni 6 lakini sijui nifanye biashara gani

Ukikosa kabisa tafuta binti mrembo upumzike naye atakupa mawazo ya biashara tu.
 
Tenga milioni 1 tafuta fremu au store lipia mwaka mzima na marekebisho mengine
Ingiza milioni 5 nunua mzigo wa bia uza jumla jumla utarudi kunishukuru hapa
 
Back
Top Bottom