Ushauri: Nina milioni 6 lakini sijui nifanye biashara gani

Weka hela bank, rudi kitaa jichanganye kwenye kaz ndogo ndogo kama kusafisha mitaro,kubeba zege baada ya mwez utajua biashara nzur sana ya kufanya.

Njia ya pili, kuwa Karbu na watu ambao hawana kitu,hao huwa wana plan nying za biashara.
Yaani akabebe zege na mitaro badala ya kutenga hata 200,000 kufanya research kwa kuzunguuka maeneo mbalimbali within specific timeline atapata picha pana sana.
 
Njoo tukuyu mbeya unanunua ngombe laki sita to saba, unampeleka kwako marisho miezi mitatu unamuza 1milion moja laki mbili kwenda ju sharti awe na mimba
 
Kwanza hongeraaa Sana kwa kuweka fedha hiyo ,,,
Ushauri wangu wekeza kye nafaka hasa mchele ...
Fungasha mchele toka morogoro halafu lete masasi mtwara huku soko lake zuri mno na hutojuta huku mchele unaenda Sana ...
Ukiwa Tayari ni contact ndugu ,,, ntakua mwenyeji wako huku na kila kitu kitaenda sawa ...
Ukihtaji mchanganuo wa biashara hii ntafute
 
Fanya forex fungua ac ya $500 baada ya mwezi utapata faida nzuri, muhimu fanya mwenyewe na zingatia Risk management
 
Amestaafu na kupewa shilingi milioni mia moja. Anaomba msaada​

First Prev12 of 13Next Last
IgnoreUnwatch
[IMG alt="Extrovert"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/355/355305.jpg?1598476995[/IMG]

Extrovert

JF-Expert Member​

Castr said:
Kuna rafiki yangu nilikua naye gym mzee wao kawaambia wapambane kutafuta vya kwao yeye vya kwake ameshaandikisha kanisa watavichukua.
Kmmmk walai

Thanks Quote Reply
Report

Hii bank sijawahi iamini

Thanks Quote Reply
Report
Reactions:Aslan127

Darmian said:
Kufanya hivyo ukiwa hata na dolar 40 huwezi?

Wazee wa forex bhana..
Dollar 40 utaikaanga kabla graph haijarudi upande wako!

Kuwakopa yote ni ngumu πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… ila 20M ningewagaia mpambane

Mgumu04 said:
Angekuwa mfanya biashara ningemshauri ila hawa wastaafu vichwa huwa vigumu sana talking from experience.
Unamshaurije mtu ambaye hajawahi kufuga hata kuku

Hii hatifungani ni option nzuri zaidi kama una around 100M unapiga life zuri tu

Sembinga said:
Vodacom juzi kati walitangaza hawatatoa gawio la faida kwa maana wamepata hasara. Sasa hizo fixed bank deposits na hati fungani haziwezi kuja kusema maneno kama hayo?
Serikali inakusanya mabilioni kila siku bandarini, manispaa, kodi na kadhalika inashindwaje kukulipa wewe million 1 kila mwezi?

Solomon Mdogo said:
Achukue milioni 3 tu awekeze kwenye kilimo cha tikiti. Kila baada ya siku 75 anavuna. Net profit sio chini ya milioni 8 akilima eka 3 (za kuhenyeka hasa)

Faida yake ni kubwa sana akijitoa
Ushauri wa kipuuzi toka thread ianzishwe

macho_mdiliko said:
Mkuu naomba unitoe tongotongo. Hivi ukisema ''bond za miaka 20'' maana yake ni kuwa unaingia mkataba wa kuwaachia fedha zako kwa miaka 20 huku ukichukuwa ''faida'' tu?
Inasemekana unaweza kuuza muda wowote

Thanks Quote Reply
Report
Reactions:macho_mdiliko

Kuna ambaye namuona kashanunua iphone macho matatu tayariπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ na anabadili viwalo tu

Thanks Quote Reply
Report
Reactions:Crocodiletooth

Mbingu ipi?

Hao Vanilla international ni swala la Muda tu hata Mr.Kuku alikuja na mbwembwe zote za kujitia ana bima ya kuzuia hasara kwa muwekezaji toka AAR akawaokota maboya wake!

Tangantika said:
Hio vanila si ndio watu wanapigwa.Kilo elf 20 wao wanadai kilo sh laki 5.Wadau humu wamesema hii vanila unachavusha mwenyewe, sasa huyo mstaafu aanze kuvizia chavua badala ya kupumzika.
We umepanda hio vanila utoe ushuhuda.
Vanila Int. ni Mr.Kuku iliochangamka, ni swala la muda kabla ya mvua za nyuzi za Vilio humu πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… in the same manner as Mr.Ontario the CON GameGenius (CGG)

Fereke said:
Kanunue bond Bot ndio suluhisho kuu.. Inalipa zaidi.
Kwa bonds za serikali ndio penyewe mfano kwa mtu kama Mwana FA au AY waliopiga 2B unaweza weka moja ikakaa kule ikawa inakupa 15% ya hela kila miezi 6! Ukawa unakunja 150M kila miezi 6 huku biashara zingine zinaendelea tu. Hapa umaskini utausikia kwa majirani tu

Ndio maana wenzetu ulaya ni matajiri tu sababu wana good financial plans!

Thanks Quote Reply
Report
I

Isike II

Member​

Habari ya asubuhi, naomba tuwasiliane

Thanks Quote Reply
Report
[IMG alt="Mtoto halali na hela"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/96/96921.jpg?1361873437[/IMG]

Mtoto halali na hela

JF-Expert Member​

Kama haina cha kufanyia aniazime hapo 10 tu miaka mitatu hela inarudi na 2 zaidi, hii ni kama shukrani

Thanks Quote Reply
Report
[IMG alt="Kurunzi"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/17/17757.jpg?1620314921[/IMG]

Kurunzi

JF-Expert Member​

Kumbe unajua maisha hayako guarantee na ndiyo maana amewka akiba yake, sasa wewe unataka atapanye acha hizi, pambana na hali yako.

Thanks Quote Reply
Report
[IMG alt="Solomon Mdogo"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/632/632579.jpg?1623435717[/IMG]

Solomon Mdogo

JF-Expert Member​

Extrovert said:

Kiss your as* and move on

Thanks Quote Reply
Report
[IMG alt="MuksiniP"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/636/636613.jpg?1623833269[/IMG]

MuksiniP

Member​

Mimi Nina wazo, but mtaji sina, tunaweza ingia makubariano na kunikopesha kiasi cha 2M,hyo pesa yako ukawekeza kwenye wazo langu, na nikawa nakurejeshea pesa yako kwa riba ya asilimia 100%, kama uko tayali naomba tuwasiliane 0622939257, 0717447020, sio ww tu hata kama kuna MTU anahitaji kuingia ubia na mm basi namkaribisha tuyajenge, Niko DSM temeke mtoni kwa azizi Ali
Nb;ukinipa hyo 2M nitakurejeshea 4M kwa muda tutakaokubaliana kufanya hayo marejesho.pia hii njia anaweza itumia kwa mtu yoyote yule muaminifu na ikawa inamzalishia pesa zaidi huku akiwa amestarehe tu.Asante
 
Mapindizi chanya Chief nimeku-pm.. tafadhali chungulia kwa droo yako hapo.
 
hakuna kitu kama hiki mkuu, kwa kawaida rate zote za kibenk ina wakilisha kipindi cha mwaka mmoja. ni ngumu kulipwa rate ya 13% pm kwa biashara au uwekezaji ambao hauna risk kubwa mkuu wote tungeweka pesa huko. siko vizuri kwenye tbills na tbonds lkn nadhan huko kunalipa zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…