Ushauri: Nina Milioni 700, nizifanyie nini?

Mzazi mwenye kukuachia urithi mrefu kama huo lazima akuachie na network ya watu watakaukushauri vyema. Yaani unakuja kuomba ushauri JF. Hapo ndo unakuwa umegonga ukuta mjomba
 
Umehamia Dar alafu umepanga chumba huku una Mil 774 na laki 5, ahya bhana!

Sent from my SM-J700H using Tapatalk
Hana hata mia huyooo!! We angalia ameandika nini kwa maneno na kilichoko kwenye tarakim
 
Mkuu hiyo siyo milioni mia saba na laki saba...ni milioni mia saba sabini na nne mia tano thelasini na tatu elfu mia mbili kumi na mbili.
Tafadhali fanya mabadiliko
 
Nenda kawezekeze UTT chagua mfuko wa kulipwa faida kila baada ya miezi 3. Nina hakika utaondoka na pesa ya faida ndefu sana kila mwezi kwa hiyo pesa yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huko UTT pia kuna mfuko wa Bond ambao faida anaweza kupata kila mwezi. Akiweka milioni 700 pato la kila mwezi litacheza zaidi kidogo ya milioni 5.

Au mfuko wa Jikimu, wao wanalipa kila miezi mitatu - ambapo pato litazidi milioni 15 kwa kila miezi mitatu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yesir, huko angekula kiulaini huku akifanya mambo yake taratibu. Aende UTT akapate maelezo na achague mfuko wa kuwekeze atakula faida ndefu huku pesa yake ikibaki palepale.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daaah naona unawatia nyege wenye njaa ya pesa. Kweli unazo kabisa?
 
Ila kama upo siriaz fanya kitu kimoja. Nenda bacrays bank fungua fixed acc alafu uwe unakula faida kila mwezi hutakosa milioni kumi faida alafu ishi kimwinyi asubuhi hadi jioni ni kahawa na kucheza bao tu huku mama nyumbani anashinda na kanga moja bila kufuli. Maisha ndio hayo kijana.
 
Kwakuwa pesa hizo umepata ghafla na huna uzoefu wa kushika pesa nyingi kutokana na maelezo yako, nashauri Wakati unawaza cha kufanya weka kiasi cha mil 600 bank au kwenye portfllio utapata return ya mpaka 15% ambayo ni ml 90 kwa mwaka bila kufanya lolote.

Ml 170 itumie sasa kufikiria baishara unayoweza kufanya...kwa ufanisi bila presha.
 
Nunua nyumba Cyprus,malta,Portugal au Bahamas island utapatiwa na uraia kabisa huko huko kwa dollar 100000

Unanza mausha mapya pia opportunity za kupata kazi ni nyingi kuliko hapa bongo

Biashara uncle magu hakuachu salama na kodi ya 80%

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
Tafuta viwanja Jenga quarters. Dar makazi Ni adimu Sana.
 
[emoji28][emoji23][emoji1787][emoji205]

Distributed Denial-of-Service
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…