Hawa wanataftaga mademu usiumize kichwa.Mpaka hapo umeshafeli, kabla ya kuchukua pesa inabidi mipango yote na taarifa zote za unachoenda kufanya ziwe tayari, na hapo umeshakusanya taarifa zote muhimu.
Sasa ndugu hizo pesa zinawezapotea pasipo cha maana kwasababu utafanya vitu ambavyo haviko katika mpango na mpangilio.
Mkuu nilishawaza kabla nahitaji kuongezea mawazo kwa ma GTMpaka hapo umeshafeli, kabla ya kuchukua pesa inabidi mipango yote na taarifa zote za unachoenda kufanya ziwe tayari, na hapo umeshakusanya taarifa zote muhimu.
Sasa ndugu hizo pesa zinawezapotea pasipo cha maana kwasababu utafanya vitu ambavyo haviko katika mpango na mpangilio.
Ok sawa ila minakushauri ingia kwenye browser yako uta daunilodi vijarida vya ufugaji aina tofauti za kuku pdf soft copy.zipo nyingi tu.Mkuu wengi waliofanikiwa walijaribu,nimepata wazo nimeona si vby niokote mawazo yenu kuboresha zaidi wazo langu.
Jambo la kwanza uwepo wewe karibu ili kuweza kufwatilia hadi mradi usimame. Hiyo kitu haitaki mtu mwenye haraka. Sio unakaa tabata mradi bagamoyo lazma upigwe.
Jambo la pili kama unafuga tafuta mbegu bora na itunze vizuri. Kama ni ngombe basi tafuta wa kutoa maziwa ya kutosha na mbegu ya kisasa kabisa. Pia tumia mbolea na ulime bustani. Ni rahisi kuuza bidhaa za maziwa na hizo mboga mboga kwa pamoja.
Tatu, fahamu vya kutosha kitu unachotaka kufanya na weka gharama za wataalamu. Pengine ikaongeza gharama kidogo lakini itakuepusha na gharama kubwa baadae ikiwa kuna jambo utakosea. Kama ni kilimo pima udongo na pata ushauri zao gani linafaa na kwa namna gani utafaidika.
Nimepokea ushauri wako mkuu nitaufanyia kazi.Jambo la kwanza uwepo wewe karibu ili kuweza kufwatilia hadi mradi usimame. Hiyo kitu haitaki mtu mwenye haraka. Sio unakaa tabata mradi bagamoyo lazma upigwe.