NURDIN.HAMIS
Member
- Mar 9, 2013
- 79
- 5
Kwa hiyo milioni 1.5 naweza kufungua kisaloon cha kawaida au ninunue bodaboda naombeni ushauri wenu wanajamii kipi ni bora zaidi kukifanya maana hela nyenyewe ndio hiyo hiyo naitegemea initoe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna utaratibu umeibuka wa uendeshaji wa bodaboda na mimi naamini ni bora zaidi.Kwa hiyo milioni 1.5 naweza kufungua kisaloon cha kawaida au ninunue bodaboda naombeni ushauri wenu wanajamii kipi ni bora zaidi kukifanya maana hela nyenyewe ndio hiyo hiyo naitegemea initoe..
Kuna utaratibu umeibuka wa uendeshaji wa bodaboda na mimi naamini ni bora zaidi.
Unanunua bodaboda na unamkabidhi dereva kwa makubaliano ya kuwa arudishe 10000 kila siku kwa miezi kumi na mbili na baada ya hapo inakuwa yake.
Utapata wastani wa milioni tatu na kitu kwa mwaka na hata ukitoa gharama bado utabaki na faida.
Unakuwa umetengeneza faida lakini pia umemsaida kujitegemea dereva wako.
Ni juu yako mwenye pikipiki.Ila nimeshudia pikipiki ikiwa imemaliza mwaka ikiwa bado kama mpya kwani wanatunza mno.Tafuta mtu anayeyajua maisha na aliyekuwa na malengo usiwape wavuta bangi.Kwenye hayo makubaliano matengenezo/service ya pikipiki nani anahusika...??
Shukrani.
Kwa hiyo milioni 1.5 naweza kufungua kisaloon cha kawaida au ninunue bodaboda naombeni ushauri wenu wanajamii kipi ni bora zaidi kukifanya maana hela nyenyewe ndio hiyo hiyo naitegemea initoe..
Kuna utaratibu umeibuka wa uendeshaji wa bodaboda na mimi naamini ni bora zaidi.
Unanunua bodaboda na unamkabidhi dereva kwa makubaliano ya kuwa arudishe 10000 kila siku kwa miezi kumi na mbili na baada ya hapo inakuwa yake.
Utapata wastani wa milioni tatu na kitu kwa mwaka na hata ukitoa gharama bado utabaki na faida.
Unakuwa umetengeneza faida lakini pia umemsaida kujitegemea dereva wako.
Njoo nikupeleke bar yenye madem wazuri
Njoo nikupeleke bar yenye madem wazuri
Njoo nikupeleke bar yenye madem wazuri
Ni juu yako mwenye pikipiki.Ila nimeshudia pikipiki ikiwa imemaliza mwaka ikiwa bado kama mpya kwani wanatunza mno.Tafuta mtu anayeyajua maisha na aliyekuwa na malengo usiwape wavuta bangi.
Bado naona maoni yanazidi kutiririka,sikiliza na wengine pia kabla hujaamuamkuu hiyo njia nimeipenda..nitaimplement aisee!!