Ulikopa kwanza bila kulichanganua wazo vizuri?? kwa hiyo gharama yote hadi kufikisha bidhaa sokoni hukuwa umepiga mahesabu? umekopa tu 5ml halafu ndio uje uanze kuipanga utakapopata uchanganuzi juu ya biashara hiyo? wewe ni risk taker upo vizuri, basi subiri watakuja wataalamu wakujuze.
Embu jaribu kuangalia uwezekano wa kuchukua mchele toka Morogoro, jaribu kuuliza watu wa Moro watakushauri zaidi, nadhani ukichukua Moro gharama ya usafirishaji inaweza kuwa chini ukilinganisha na Mbeya.
Soko la mchele huwa lipo tu,na mchele mbeya upo mwingi kwa sasa ni elfu 29 mpaka 30.
Mtaji wako mdogo
Tafuta meza masokon uuze rejareja
Gharama ya gar m1.2 toka moro
Mchele ukiwa mwing kilo 1 sh 600 baaada ya mwez unapanda mpka kilo sh 900
Kwan nini mchele na si biashara nyingine?Ndg zangu Wana jamii, nimekwama naomba ushauri,nimepata mkopo wa tshs.milioni 5, nina wazo la biashara ya jumla ya kununua gunia za Mchele toka Mbeya - Mbalali na kuleta hapa Dar na kuuza kwa jumla masokoni.
Ombi langu wenzangu, mwenye ufaham wa biashara hii kabla sijaianza naomba tafadhari shule. Natanguliza shukrani.
Mwana JamiiForums.
Ni wazo tu na nimeona ni biashara nayoweza kuifanya na kuhusu Mbeya siifaham sana ila nina ndugu pale wanaweza kunisaidia kwa namna moja au nyingine @ nzalendoKwan nini mchele na si biashara nyingine?
Mbeya unapafahamu vizuri?
kuwa muangalifu wakati wa kufanya maliponi wazo tu na nimeona ni biashara nayoweza kuifanya na kuhusu mbeya siifaham sana ila nina ndugu pale wanaweza kunisaidia kwa namna moja au nyingine @ nzalendo
kuwa muangalifu wakati wa kufanya malipo
usiende na cash...shamba....
Inategemea na aina ya mchele.Nipigie kwa 0783-181184 au 0717-511439 nikupe maelekezo ya soko la huku darNdg zangu Wana jamii, nimekwama naomba ushauri,nimepata mkopo wa tshs.milioni 5, nina wazo la biashara ya jumla ya kununua gunia za Mchele toka Mbeya - Mbalali na kuleta hapa Dar na kuuza kwa jumla masokoni.
Ombi langu wenzangu, mwenye ufaham wa biashara hii kabla sijaianza naomba tafadhari shule. Natanguliza shukrani.
Mwana JamiiForums.
Ina maanisha hiyo elfu 29 au 30 ni kwa plastic 1 ya kilo 20 sawa na sh.1450 au 1500 kwa kilo.Kwa kg100 sawa na sh145000 au 150000.Hiyo ni bei ya kununua huko mbeya na c sokoni huku dar.Ila huko mbeya imeshuka.Kwa jana nimeulizia nimeambiwa kwa plstic 1 imekuwa 27000 kwa mbeya mjini,kyela imekuwa 23000 hadi 26000 kwa platic 1 yenye ujazo wa kg20 .Bei ya kyela iko chini coz kyela is far away from mbeya urban ! For further conversation call me via above mentioned phone number !Mkuu hiyo elfu29 na 30 ni kwa Ujazo na Ubora gani??
Mara ya mwsho anaonekana hapa ni October 8, 2015kaka, ulie omba ushauri unaweza kutupa mrejesho ,
Mkuu nadhan ukisema ivi utatuvunja moyo wengiMtaji wako mdogo
Tafuta meza masokon uuze rejareja
Gharama ya gar m1.2 toka moro
Mchele ukiwa mwing kilo 1 sh 600 baaada ya mwez unapanda mpka kilo sh 900