Mkuu nadhan ukisema ivi utatuvunja moyo wengi
Mi nadhan ishu kubwa na ya msingi ni information, imagine next week nina mpango wa kuchukua gunia 2 Tinde Shinyanga that is to say natarajia kutumia Tshs. 400,000/=
Na kusafirisha gunia moja la kilo 100 mpaka Dar Tandale ni sh. 5000, kwenye lori including kupakia na kupakua.
Sishauri kama ndo mtu unaanza iyo biashara kwa mara ya kwanza, uanze na mtaji mkubwa (even a million can do something great), while hujajua soko, namna ya kukabiliana na changamoto za hapa na pale...in short unakuwa huna information nyingi. Unakuwa hujui hata mzigo wako utaufikishia wapi, hujawazoea wanunuzi au madalali...na wengine wakijua we mgeni wanakupiga...so it is better ukapigwa hela kidogo, ukarudi kujipanga upya.
It is better ugrow simultaneously na mtaji i.e. kadri soko linavokuwa kubwa nawe ndo unaendelea kuengage mtaji mkubwa zaidi.
Maelezo haya ni kwa mujibu wa kauzoefu kadogo na changamoto nilizopata kwenye biashara ya mazao mengine.
Yangu hayo tu