Ushauri: Nina Mkopo wa TZS Million 5, nataka kununua gunia za Mchele toka Mbeya kuleta Dar, inalipa?

Ina maanisha hiyo elfu 29 au 30 ni kwa plastic 1 ya kilo 20 sawa na sh.1450 au 1500 kwa kilo.Kwa kg100 sawa na sh145000 au 150000.Hiyo ni bei ya kununua huko mbeya na c sokoni huku dar.Ila huko mbeya imeshuka.Kwa jana nimeulizia nimeambiwa kwa plstic 1 imekuwa 27000 kwa mbeya mjini,kyela imekuwa 23000 hadi 26000 kwa platic 1 yenye ujazo wa kg20 .Bei ya kyela iko chini coz kyela is far away from mbeya urban ! For further conversation call me via above mentioned phone number !
Mkuu gharama ya usafiri toka kyela kwa tani,/kg ni shilingi ngap?
 
Mkuu nadhan ukisema ivi utatuvunja moyo wengi

Mi nadhan ishu kubwa na ya msingi ni information, imagine next week nina mpango wa kuchukua gunia 2 Tinde Shinyanga that is to say natarajia kutumia Tshs. 400,000/=
Na kusafirisha gunia moja la kilo 100 mpaka Dar Tandale ni sh. 5000, kwenye lori including kupakia na kupakua.

Sishauri kama ndo mtu unaanza iyo biashara kwa mara ya kwanza, uanze na mtaji mkubwa (even a million can do something great), while hujajua soko, namna ya kukabiliana na changamoto za hapa na pale...in short unakuwa huna information nyingi. Unakuwa hujui hata mzigo wako utaufikishia wapi, hujawazoea wanunuzi au madalali...na wengine wakijua we mgeni wanakupiga...so it is better ukapigwa hela kidogo, ukarudi kujipanga upya.

It is better ugrow simultaneously na mtaji i.e. kadri soko linavokuwa kubwa nawe ndo unaendelea kuengage mtaji mkubwa zaidi.

Maelezo haya ni kwa mujibu wa kauzoefu kadogo na changamoto nilizopata kwenye biashara ya mazao mengine.

Yangu hayo tu
Uko sahihi mkuu.
Mdogo wangu alianza hiyo biashara akiwa na shilingi milioni 1 taslimu na malengo + hasira ya kupigika mtaani. Alianza kuchukua gunia tano za mchele grade 1/A (Super) mbeya. Katika hiyo hela ilitosha gharama zake zote mpaka mzigo ukafika Dar. Hiyo ilikuwa mwaka jana mwezi wa sita au wa saba kama sikosei. Sasa hivi amekuza mtaji wake maradufu na anachukua mpaka gunia 70 mpaka 100 kwa sasa. Sijui alifanyaje kwa kweli. Ila ukiwa na nia + malengo+ hasira ya kutaabika maishani kila kitu kinawezekana.
 
Kweli mkuu
 
In fact biashara yoyote ukipata mtu mwema wa kukushika mkono inakuwa rahisi Ku cop.Mimi Naomba tushikane mkono,unayejua kitu mwelekeze na mwingine ndiyo maisha ya kutafuta.
 
Jaman, tuwe na tabia ya kuleta mrejesho wa yale tuliyoombabushauri, naamini kuna mengi wengine titajifunza kutoka kwe huo mrejesho wako
 
dah, hili ni zaidi ya darasa kwetu sisi wakulima, mimi nimejiingiza/nimejaribu kwenye kilimo msimu huu japo sikua na experience nacho, nilienda morogoro maeneo ya tuliani (mtibwa) nikapata mashamba ya kukodi na nikakodi heka 6 kwa gharama ya tsh lak 1 kw heka nikapanda mpunga na nashukuru umezaa vizuri tu japo changamoto zilikua nyingi mno but nashukuru mungu amesaidia sana, sasa mpunga wangu huko tayari kwa mavuno ila wiki hiliyopita niliugua sana na nililazwa hospital ya wilaya ya mvomelo na baada ya kupata nafuu kidogo ikanibidi nirudi dar kwajil ya vipimo zaid maana bado siko vizur ila imebidi mama yangu na kaka waende kule na ndio wanashughulikia mavuno sasa na nategemea kuvuna gunia kati ya 70 mpaka 100 kwa heka zote 6 (hii ni kulingana na maelezo ya wenyeji), hivyo naamin kwa maelezo ya wachangiaji ktk uzi huu, naamin ntapata wazo zuri la namna gani bora ya kuuza mpunga/ mchele ntakaoupata baada ya mavuno,
NOTE. kujaribu ni mwanzo wa kufanikiwa, hivyo hata wewe ndugu naamin utafanikiwa tu ktk hilo wazo lako
 
Mchele Mbeya bei ya jumla ni 40,000/= Kwa kilo 20.

Risk pia kwenye usafiri. Mvua.

Sijui hata kama unayo stoo ya kuupokelea.

Risk pia Kwa madalali wa dar ambao wengi ni kanyaboya.

But, jaribu ila siyo Kwa hela yote.
 
Uko sahihi mkuu.
Mdogo wangu alianza hiyo biashara akiwa na shilingi milioni 1 taslimu na malengo + hasira ya kupigika mtaani. Alianza kuchukua gunia tano za mchele grade 1/A (Super) mbeya. Katika hiyo hela ilitosha gharama zake zote mpaka mzigo ukafika Dar. Hiyo ilikuwa mwaka jana mwezi wa sita au wa saba kama sikosei. Sasa hivi amekuza mtaji wake maradufu na anachukua mpaka gunia 70 mpaka 100 kwa sasa. Sijui alifanyaje kwa kweli. Ila ukiwa na nia + malengo+ hasira ya kutaabika maishani kila kitu kinawezekana.
Interesting, mdogo wako anaendeleaje sasa mkuu?
 
Ulibidi uombe ushauri kabla ya kukopa,wakati unaendelea kuomba ushaur kule ulipochukulia mkopo tayar wameshaanza kuhesabu siku
 
Back
Top Bottom