asante zue d.nitaongeza maombi zaidihy hali sio ya kawaida. Chamsingi piga maombi mama.
sijawahi kabisaa,mme wa mtu ni mwiko siana tabia hizo.kinacho fuata utajikuta makaburini kesho, mme wa mtu ni sumu.
Kama muislam muite shehe akusomee dua, kama mkristo muite mchungaji akuombee, kwa ushauri zaidi wa kisaikolojia ni pm. Vp ulikunywa pombe?
Habari ya asubuhi wanajamvi, namshukuru Mungu nimeamka salama.
Jana baada ya shughuli za siku nzima nilirudi nyumbani kwangu, na muda wa kulala ulipofika nikavaa nguo zangu za kulalia nikalala salama. KINACHONIPA WASIWASI, leo nimeshituka mida ya saa 04:45 alfajiri nikaajikuta sina nguo hata moja yaani nipo utupu, nguo ziko pembeni yangu na nimelala chali.yaani nimeshtuka sana, cha kwanza nikajikagua kila sehemu ya mwili wangu nikakuto ni salama pote.
Chumbani kwangu nalala mwenyewe na huwa ninafunga kabisa ,na jana nilifanya hivyo hivyo nilifunga mlango wangu kama kawaida, kweli hali hii imenitia wasiwasi.
Naombeni ushauri wenu wadau.
Kinacho fuata utajikuta makaburini kesho, mme wa mtu ni sumu.
Kama usemacho ni kweli kimekutokea, binafsi ninakushauri hatua ya kwanza hama mara moja hapo unapoishi, then maombi ya imani, huku ukijichunguza maisha yako kama kuna mtu umemfanyia jambo baya (e.g. kumrusha pesa, kutembea na mpenzi/mumewe n.k). Fikiria pia kuwashirikisha mashehe maana usikute ni jini lilikuwa linakulamba au linataka kufanya ngono na wewe.
mito nashukuru sana kwa ushauri wako,shida ni nyumba yangu mwenyewe ya kujenga,and nina miezi 3 toka nihamie,halafu sinadhuluma wala sinauhusiano na mme wala hawala wa mtu.ila naamini Mungu atanipigania kwa hili.muniombee dua mwenzenu.mpaka nyumba naiogopa.leo sitapata usingizi na mida ndo hiyo inakaribia.Kama usemacho ni kweli kimekutokea, binafsi ninakushauri hatua ya kwanza hama mara moja hapo unapoishi, then maombi ya imani, huku ukijichunguza maisha yako kama kuna mtu umemfanyia jambo baya (e.g. kumrusha pesa, kutembea na mpenzi/mumewe n.k). Fikiria pia kuwashirikisha mashehe maana usikute ni jini lilikuwa linakulamba au linataka kufanya ngono na wewe.
asante nsuri ntafanya hivyo.pia wale waombaji msinisahau jamani.Usipende kulala bila kusali na weka biblia kabsa kitandani na uwe na imani!!!
inatike kwenye maisha mtu anaishi mwenyewe,nami imenitokea.Mmm kwanini ulale mwenyewe bwana??